LIFE PAIN GAIN
Member
- Oct 25, 2021
- 98
- 98
So inatakiwa nichanganye na makomeo, kufuri, bawba..ili ikae vizuri right?Vitasa, makomeo, kufuli, hivi vya kushika milango jina limenitoka oops bawaba, location ikiwa nzuri utauza sana mangi
Ndio Mkuu, we deal na Mlango mzima, lasivyo itakuwa mteja akija kwako anataka bawaba na kitasa Kisha akaskia bawaba hakuna, utaskia basi ngoja nikacheki paleee narudi kuchukua kitasa alafu Ndio mazimaSo inatakiwa nichanganye na makomeo, kufuri, bawba..ili ikae vizuri right?
Ahsante mkuu hapo umenifumbua macho, Ubarikiwe kwa ushauri mkuu.Ndio Mkuu, we deal na Mlango mzima, lasivyo itakuwa mteja akija kwako anataka bawaba na kitasa Kisha akaskia bawaba hakuna, utaskia basi ngoja nikacheki paleee narudi kuchukua kitasa alafu Ndio mazima
Akifika huko anakuta bawaba na vitasa, sa Kwanini arudi Tena kwako? Labda awe ana ufahamu na Bei zako, ila mara nyingi wateja wanapenda kupata mahitaji yao sehemu 1, ili kuepusha usumbufu lakini pia waga wanaamini akinunua vyote sehemu 1 atapata discount
Nafikiria pia niweke na bawaba na rollers za geti kabisa.. ni sideal na vya mlango wa mbao tuNdio Mkuu, we deal na Mlango mzima, lasivyo itakuwa mteja akija kwako anataka bawaba na kitasa Kisha akaskia bawaba hakuna, utaskia basi ngoja nikacheki paleee narudi kuchukua kitasa alafu Ndio mazima
Akifika huko anakuta bawaba na vitasa, sa Kwanini arudi Tena kwako? Labda awe ana ufahamu na Bei zako, ila mara nyingi wateja wanapenda kupata mahitaji yao sehemu 1, ili kuepusha usumbufu lakini pia waga wanaamini akinunua vyote sehemu 1 atapata discount
AmmmeeeeeenWazo zuri sana naomba ufanikiwe.
Vifaa vya kufix milango viko vya aina nyingi na vyenye ubora tofauti.
Kuna wakati tulikuwa tunahitaji vifaa hivyo kwa mlango
Kwa maana door locks,door hinges, door handle, door flash stopper, hydrolic door closer.
Iligharimu milion moja na laki mbili.
Kwa maana hiyo mtaji wake sio kidogo ili kuwa na duka la namna hiyo.
Lakini hakuna kinachoshindikana kwenye nia njema.
Vp nikiongezea na bawaba za geti...Na rollers zake ..ni sawa eti??Wazo zuri sana naomba ufanikiwe.
Vifaa vya kufix milango viko vya aina nyingi na vyenye ubora tofauti.
Kuna wakati tulikuwa tunahitaji vifaa hivyo kwa mlango
Kwa maana door locks,door hinges, door handle, door flash stopper, hydrolic door closer.
Iligharimu milion moja na laki mbili.
Kwa maana hiyo mtaji wake sio kidogo ili kuwa na duka la namna hiyo.
Lakini hakuna kinachoshindikana kwenye nia njema.
Unapolenga kitu fulani nenda na mbele zaidi kwa sababu zama zimekua na mabadiliko ambapo bidhaa zinazozalishwa na mbao zinapungua sana.Vp nikiongezea na bawaba za geti...Na rollers zake ..ni sawa eti??
Pamoja boss..Unapolenga kitu fulani nenda na mbele zaidi kwa sababu zama zimekua na mabadiliko ambapo bidhaa zinazozalishwa na mbao zinapungua sana.
Metal door aluminium door, fibre door zinashika nafasi sana.
Kwa hiyo ni vizuri sana kuangalia na engle hio pia.
Ahsante sana boss..umechukuwa muda wako kuelaborate..ubarikiwe mkuuTrust me, utatengeneza pesa sana, hakikisha tu una deal na mlango wote, accessories za mlango zote.
√ Vitasa vya milango ya mbao na mageti, kuanzia low quality to the highest quality.
√ Makomeo yote ya sizes zote
√ Bawaba sizes zote, Bawaba za milango ya mbao na zile za mageti...uwe na za kichina na hizi za Sido/Tanzania.
√Tairi za mageti sizes zote na rollers zake.
√ Kufuli sizes zote na ubora wote.
√ Uza pia discs za kukatia chuma na kunolea chuma.
Habarini,
Nimefikiria kuwa unique kidogo na kufungua duka litakalo deal na vitasa vya mlango aina zote.
Je niko sahihi kwenda na kufanya hii idea kupelekea kunitoa au nimespecialize sana kupelekea kuchoma mahindi tu.
Karibuni kwa mawazo yenu na njia mbadala ikiwezekana.

Sure mkuu ...Kuna muhindi mmoja anaitwa Hozeifa mtaa wa swahili K.koo yeye ana deal ya door accessories zote na anapiga hela mnooAisee hiyo biashara nshaiona karikaoo Kama maduka manne hivi wanadeal navifaa vya mlango vyoote Aina zoote low quality and high