USHAURI: Nahisi nimerogwa

Huenda life style yako ndo tatizo mkuu.
Ama labda huwa unajisifia kwa mambo ya kihalifu, au bila kujua unakua na marafiki waharifu.
 
Ngoja na mimi nikakushtaki kwenye mizimu ya babu zangu. Sijawahi kufeli kwenye hili. Utapeli kwetu ni mwiko
 
Hela yako itakua ya kulipa madeni mpaka unakufa. Waulize wanaonijua humu Jf watakuambia vizuri. Soma nyuzi zangu za nyuma utagundua umedili na mtu gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…