Delacruzito
Senior Member
- Aug 5, 2019
- 123
- 141
Kama ni Genetics huwezi kuuzuia, japo unaweza kupunguza kasi yaa nywele kukatika. Njia sahihi ni kwamba tafuta vitunguu maji uvisage, vichuje na paka yale maji yake sehemu ambayo nywele zinakatika. AU utafute tui la nazi likiwa la vuguvugu unapaka sehemu iliyoharibika. AU chukua mayai mabichi changanya na mafuta ya mizeituni kisha paka kichwani. Fanya hili zoezi usiku muda wa wiki mbili hadi tatu.
Angalizo: Uwe na Shampoo ya kuoshea kichwa ili kutoa harufu za mayai, vitunguu na nazi. Lakini kubwa zaidi punguza mawazo na hakikisha unapata muda mwingi wa kulala....
Upara wa pesa hio siku hizi labda, zamani tunaita Airport hio.
Turudi kwenye mada, dawa ya asili ya kiuwaraza ni kunyoa kipara.
Dawa za kisasa zipo nyingi tu unaweza kuvaa wig au tafuta dawa inaitwa Minoxidil.
Kila la kheri
Kojoa mkojo wako, changanya na mavi uliokunya asubuhi uwe unapaka kila ukiwa unaenda kulala, siku tano tu tatizo kwisha kabisa
Inategemeana na umbo la kichwa cha mtu. Kama ana kichwa kama kiazi au kile cha madenge,akinyoa kipara atakuwa kituko.Ndugu kwa ushauri wangu usijiangaishe kutafuta madawa hutoweza. Hiko kipata ni cha kurithi nikama ulivyorithi baadhi ya vitu mfano rangi, urefu, ndevu etc
Kuna jamaa ninamfahami anapesa ameshakomaa kukiondoa kipara lakini amesanda. Njia nzuri Anza kunyoa nywele zibaki ndogo,.Jinsi kipara kinavyo ongezeka nawewe nae unazidi kunyoa kuendana na hiko kipara.
Unaona kina Idris sultan, Mr blue walikuwa wananywele kibao walikuwa wakibadili mitindo ya nywele karibia kila siku kama anavyofanya jux,,Lakini upara ulivyoingia nawenyewe wameanza kunyoa kipara, sio kwamba wanapenda hapana hiyo ndio best option iliyobakia na still wanapendeza.
Uwongo wa kiwango Cha lamiKojoa mkojo wako, changanya na mavi uliokunya asubuhi uwe unapaka kila ukiwa unaenda kulala, siku tano tu tatizo kwisha kabisa
Wasiliana na Rooney.Habari zenu wana JF
Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani
Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa naona kama nimerithi kwake na maana nywele zangu za hapa Mbele zinakatika zinakua fupi kuliko nyingine halafu nikijiamgalia kwenye kioo naanza kuona ile Ngozi za kichwa kwa mbali.
So, wanadugu jamani kwa yeyete mwenye anajua dawa ya kutibu upara au uwaraza kwa njia yeyote ile iwe ni kwa kutumia dawa za asili ama kama kuna mafuta ya kununua ya kupaka please naombeni mnisaidie[emoji1488][emoji1488]
Bongo ipo? Na ni kiasi gan?Upara wa pesa hio siku hizi labda, zamani tunaita Airport hio.
Turudi kwenye mada, dawa ya asili ya kiuwaraza ni kunyoa kipara.
Dawa za kisasa zipo nyingi tu unaweza kuvaa wig au tafuta dawa inaitwa Minoxidil.
Kila la kheri
Mafuta ya Maboga yanauzwa madukani?Kumbe haya mambo ni mengi eeh!
Jaribu na mafuta ya maboga pia bro
Hapana kama uko na wazo lililo bora unaweza nishirikisha pia.Natumae mleta mada ulipata muongozo...
MmhMafuta ya Maboga yanauzwa madukani?
Huyo jamaa wa miongozo hanaga ushauri wowote wala points zozote zaid ya hiyo komenti yake moja tangu ajiunge JF...Hapana kama uko na wazo lililo bora unaweza nishirikisha pia.