Ushauri: Nahitaji industrial dryer sijui naanzia wapi

Ushauri: Nahitaji industrial dryer sijui naanzia wapi

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Wakuu mimi ni mjasiriamali nina uhitaji wa industrial dryer angalau yenye uwezo wa kukausha tani 30 (kiwango cha chini) kwa siku, sasa sijui naanzia wapi. Naomba ushauri namna ya kuipata, bei yake na ni dryer ya aina gani itanifaa.

Natanguliza shukrani
 
unahitaji kukausha nini? .... kuna aina inaitwa Airflow dryer inatumia biomass .... up to 4 tons per hour ..... 15KW motor

tuwasiliane ....
 
unahitaji kukausha nini? .... kuna aina inaitwa Airflow dryer inatumia biomass .... up to 4 tons per hour ..... 15KW motor

tuwasiliane ....
sawa mkuu nahitaji kukausha nafaka
 
Wakuu mimi ni mjasiriamali nina uhitaji wa industrial dryer angalau yenye uwezo wa kukausha tani 30 (kiwango cha chini) kwa siku, sasa sijui naanzia wapi. Naomba ushauri namna ya kuipata, bei yake na ni dryer ya aina gani itanifaa.

Natanguliza shukrani

Mkuu, Dryer unayohitaji ni kwa ajili ya shughuli gani?
 
Kukaushia mazao mkuu

Ok, kuna zile ambazo ni Dehydrators yaani zinanyonya unyevu na zile Dryers ambazo zinatoa hot air kukausha moja kwa moja.

safety_sus304_food_dryer_machine_industrial_microwave_drying_equipment.jpg

Dehydrator

HTB1FRxUKFXXXXcKXpXX760XFXXXj.png

Dryer

Supplier wa hizi mashine alie reliable ni Alibaba.com

Unachotakiwa kufanya ni kujisajili katika tovuti yao na kuwa na akaunti halafu unatafuta hizo mashine.

Ukiishiona ile unayopenda (katika sehemu ya industrial machines) unafanyua manunuzi na watakuletea TZ.

Utaratibu mwingine ni wewe mwenyewe kwena eneo la tukio au kumtuia mTZ alieko huko.
 
Back
Top Bottom