Box moja la sigara SM linauzwa 680,000. Bado sijanunua la embasy, club sport, wiston, kali. nk. Bado sijalipia frem . Kwa sehem za barabaran zilizochangamka kodi ni mpaka 150,000 kwa mwez. Na unalipia kuanzia miez 3.Mbona mtaji mkubwa kabisa huo kwa hiyo biashara Mkuu
Box moja la sigara SM linauzwa 680,000. Bado sijanunua la embasy, club sport, wiston, kali. nk. Bado sijalipia frem . Kwa sehem za barabaran zilizochangamka kodi ni mpaka 150,000 kwa mwez. Na unalipia kuanzia miez 3.
Bado pia lazima nibakishe kaakiba kidogo kwa ajir ya mafuta ya pik pik. Nimepga hesabu zangu mpaka kichwa kinauma naona ni kama haitoshi. Plus mambo ya TRA na lesen ya biashara ni hatar mkuu.
Sawa sawa kiongoz nimeelewaMkuu usianzie mbali kiasi hicho iruhusu biashara ikufikishe kwenye lengo kuu ila usianzie kwenye lengo kuu ni rahisi kuanguka.
Ila pia jaribu kuangalia namna eneo lako lilivyo ila kwa uzoefu wangu biashara za hivi zinajikuza zenyewe tena kwa fasta sana.
Mrejesho?Box moja la sigara SM linauzwa 680,000. Bado sijanunua la embasy, club sport, wiston, kali. nk. Bado sijalipia frem . Kwa sehem za barabaran zilizochangamka kodi ni mpaka 150,000 kwa mwez. Na unalipia kuanzia miez 3.
Bado pia lazima nibakishe kaakiba kidogo kwa ajir ya mafuta ya pik pik. Nimepga hesabu zangu mpaka kichwa kinauma naona ni kama haitoshi. Plus mambo ya TRA na