Ushauri: Nahitaji kufungua Saloon ya kike

Ushauri: Nahitaji kufungua Saloon ya kike

kelvinmgina

Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
7
Reaction score
13
Niko Dodoma karibu na chuo nataka kufungua saloon ya kike na msimamizi mzuri nitamleta. Nataka nipate uzoefu kwa waliofanya hii biashara ya saloon ukilinganisha na duka la cosmetics mauzo yake kwa siku.

Natanguliza shukrani..
 
Ukihitaji mafuta ya queen elizabeth cocoa butter jumla jumla nipe order lakini yanapatikana Dar
 
Viking
Vp kuhusu biashara ya cosmetics iko vp?
naamanisha mtaji mzuri wa kuanzia pamoja gharama za leseni & tin na hao TFDA
Mwenye uelewa kuhusu hili anisaidie nipo gongo la mboto naipenda sana biashara hii nipo tayari kuifanya nikipata msaada mzuri wa ufanyaji wake
 
Back
Top Bottom