Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.

Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.

Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.

Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.
 
Yaani dada wee ndo basi tena, hujazaa? Na unene huo? Pole dada! Njoo kwangu nikufanyishe mazoezi! Ila ukienda kuogelea chunga sana wale beach boy, haki ya nani lazima wakugegede!!
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Suicide mode about to be activated.
 
Oooh African mama,,, furahia kuwa vile ulivyo pia weka jitihada za kufurahia kupunguza mwili utafanikiwa
 
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Kwenye maji yeyote unayokunywa weka limau Au ndimu mbili mpk nne.
 
Wadada mabonge huwa wana mvuto kweli kweli hasa lile chura![emoji39]
 
Ridhika na uupende mwili wako however fat you are. Chamsingi hakikisha unafanya mazoezi routinely (watafute wataalamu wa mazoezi ya kukata mafuta mwilini) kula vyakula jamii ya mbogamboga na matunda (punguza carbohydrates na mafuta) na uwe unafanya regular health check ups (at least kila baada ya 3 months) to make sure that you stay healthy licha ya ubonge wako. Good night!
 
Back
Top Bottom