Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaa!
natamani kujipunguza ila sipungui, natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo.
Asubuhi nilikula chapati mbili na chai kidogo mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili, jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari.
Hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale, nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia.
Serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu.