Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kweli mkuu?Payee, na kupenda hivyo hivyo.
najua kuogelea mkuu siitaji msaada halafu siogelei sehemu za vumbi mieYaani dada wee ndo basi tena, hujazaa? Na unene huo? Pole dada! Njoo kwangu nikufanyishe mazoezi! Ila ukienda kuogelea chunga sana wale beach boy, haki ya nani lazima wakugegede!!
Hebu nitumie picha yako kwenye PM nikupime kama naweza kukupunguza kweli kwa mazoezi yangu!kweli mkuu?
Suicide mode about to be activated.najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
Kwenye maji yeyote unayokunywa weka limau Au ndimu mbili mpk nne.najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
natamani kujipunguza ila sipungui ,natamani kujinyima kula ila nachoka inabidi nile japo kidogo
asubui nilikula chapati mbili na chai kidogo
mchana nikala biriani kidogo na nyama mbili
jioni nimekula nyama cha kuchemsha kama robo na kachumbari
hapa nipo nafanya mazoezi ninywe maji moto nilale
nimeuchoka huu mwili nataka kesho nikaogelee ila sina mvuto kama zamani natamani nisiende ila marafiki zangu wataumia
serias kama kuna dawa naombeni ila sijazaa mwenzenu zisije zikayeyusha mayai yangu
naweka mkuu na matango juuKwenye maji yeyote unayokunywa weka limau Au ndimu mbili mpk nne.
Ni Pm nikueleze jinsi ya kupunguza unene.
Suicide mode about to be activated.
sitanii jamani nisaidieni nasikia kuna dawa nishaurini ambazo hazina side effectOooh African mama,,, furahia kuwa vile ulivyo pia weka jitihada za kufurahia kupunguza mwili utafanikiwa
nitanenepa zaidi mkuuShuguli yangu kitandani wiki moja, mwili wote kwishney. Mpaka unashangaa maana mwili utapungua na raha juu.
Si unanijua??? Nikasema namaanisha....kweli mkuu?
mi sikujui nakujulia wapi?Si unanijua??? Nikasema namaanisha....