Ushauri: Najichukia sana unene wangu mpaka nakosa usingizi

Miaka 33. Huna mpenzi, hujafanya matusi mwaka wa 5 huu. Si ajabu lakini wewe una amani na jambo hilo? Tatizo liko hapo wala tusiende mbali. Sisemi uingie kwenye mahusiano lakini una mkasa moyoni. Ushughulikie. Hata ukiamua kuendelea kuwa single basi akili na nafsi viwe vimekubaliana. Sasa kuna mgogoro na matokeo yake yanaonekana mwilini.
 
Utakuwa hujafanya Mapenzi Siku nyingi...
 
mbona masister hawanenepi mkuu?
 
Kuna vitu vingine ni genetic...lakini kama ni mnene na ni mwepesi, you can still swim and have fun...sioni shida sana!

Everyone is beautiful in their own state. Hakikisha tu upo fit mwili kuongezeka au kupungua isiwe kigezo.

Nahisi unahusisha unene wako na kuwa single.
 
ahahaaa acha hizo habare bna sitaki hata mpenzi mimi
 
Ila umenikumbusha wimbo tuliimbaga JKT miaka hiyooo ya ujana..

"Kiongozi: Mama bonge
Wote: eeeh
Kiongozi: Hebu sikia (eeeh)
Mwanao bonge (eeeh)
Anavyolia.
Alizoea (eeeh)
chips mayai (eeeh)
Soda bagia (eeeh)
na mishikaki.
Na sasa bonge (bonge analia bonge)
Bonge mama (bonge analia bonge)
Boongee (bonge analia bonge)
jamani bonge (bonge analia bonge)."

Aisee yani ilikuwa hata uwe umekuja mnene kiasi gani lazima utakonda tu...good old days!

NB: Nilisoma mahali watching what you eat is more healthy than exercising!
"
 
Jitahidi kila siku uwe unabembea angalau km 5 kila siku kama uko d
najichukia sana huu mwili wangu nimekuwa linene libayaaa
Jitahidi angalau kila siku uwe unatebembea Kwa miguu angalau km tano mfano kama uko dar tembea kutoka ubungo mpaka yangu bovu mbezi, ndani ya week 2 utaona matokeo
 
Sikujui so am always running on assumptions.

by the way...aaaaaare you sure!???
Jitahidi kila siku uwe unabembea angalau km 5 kila siku kama uko d

Jitahidi angalau kila siku uwe unatebembea Kwa miguu angalau km tano mfano kama uko dar tembea kutoka ubungo mpaka yangu bovu mbezi, ndani ya week 2 utaona matokeo
Yangi bovu mbezi
 
Duh! Pole mimi nina 44kg tu

Toobaaaaaa

Naomba uniahidi kitu kimoja, kwamba nikifanikiwa kukupa mazoezi ya kupunguza unene na ukifanikiwa utanipa Papuchi
Kwahiyo kakuzidisha mara mbili na ushee [emoji3]
 
Nnavyopenda wanawake wanene huwezi amini malalamiko yako yamefanya nikutamani.
 
Reactions: MC7
Hormone si za uzazi tu. Mfumo wa hormone ni mpana. Unaweza kuvuruga mfumo wa umeng'enyaji chakula, utoaji takamwili, hisia n.k
mfumo wa digestion nadhani uko pia vizuri maana napata choo vizuri tu mkuu,hisia ndo sijui
 
Ebu nitajie una urefu kiasi gani (in cm) then nikuambie kiasi cha uzito unaofaa kwa afya bora.
 
mbona masister hawanenepi mkuu?
Hawanenepi kwa sababu hawako obssessed na mapenzi. Wewe umeelemewa. Wewe kuna kila ushahidi hauna amani na "useja" wako tofauti na masista wengi walioamua kwa hiari yao wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…