Kwa mm navojua sheria inavosema TRA anamamlak ya kukadilia kodi utakayo lipa endapo tu mauzo yako hayazidi millioni 20 kwa mwaka kwa maana io yakizidi hapo inakuwa kinyume ww ndo unakadilia utalipa kiasi gani kwa mwaka husika na kama tunavyojua kodi ya mapato kisheria ni 30% ila utakavo kuwa unajikadilia icpungue kwa 25%(kama c kosei) na pia ukifika huko kodi inakatwa kwa kuangalia faida gani umefanya/utafanya tofauti na wenye mauzo chini ya millioni 20 wanakatwa kuendana na mauzo sio faida.. pia kama mauzo yako ni zaidi ya millioni 20 ila faida yako c zaid ya millioni 1.8 - millioni 2 hulipi kodi kabsa ila ikiwa faida tako ni millioni 2 hadi 5 (nazani) unalipa kwa 9% koo kwa mazingira aliyo yasema huyo inakuwa tabu kuelewa alkuwa kwenye kundi lipi napenyew ukiangalia vzuri hamna sehem kufikia hapo ambayo itakwambia unatakiwa kulipa million 2 as kodi annually