Sitarajii kukuon kesho ukilalamika kwamba hupati huduma ya afya nzuri,hupati/ndugu,jamaa,rafiki au hata mtoto wako hapati elimu nzuri, pia sheria za biashara c rafiki kwako kwa maan io ww pia n moja ya visabish vya kuwapo kwa vitu kama ivyoMm ndio mana sitaki kulipa kodi wala leseni nkikutana nao nawappoza tu naendlea na kazi sitaki utani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap ndio unatakiwa kumlipa hawez akakufanyia bure nazani once ukiamua kuwa kwnye biashara ao ndo watu wa muim kuwa karbu nao itakup urahc, pia itakufngua kweny mambo meng ambayo huyajui
Infact nina bro ambae n kama rafk kwang na n mwanasheria niktaka msaad kwny certain staff ananfanyia kwa as little as 30k Tsh
But inakuwa vzuri pia kuwa nae karbu tu kwa ushauri maana kama alivoongea mauzo yake hayafiki million 5 kwa mwaka na sheria inasema kama mauzo yako hayazidi millioni 4 hutakiwi kulipa kodi kabsa sas cjajua kama yey mauzo yake yanzid au hayazid million 4Itamsidia nini kumlipa mhasibu amount (ambayo hata iwe chini kiasi gani) itakuwa almost sawa na kodi anayodaiwa? My point is: kwa biashara hiyo aliyoitaja hana transactions za kutosha ku-justify proper financial management system na accounting services.
Hebu tusaidie elimu mkuu japo uliemjibu ni mwingine.Nitaweza jua circumstance ilkuwaj hadi ww kuambiwa kodi io
Kwa mm navojua sheria inavosema TRA anamamlak ya kukadilia kodi utakayo lipa endapo tu mauzo yako hayazidi millioni 20 kwa mwaka kwa maana io yakizidi hapo inakuwa kinyume ww ndo unakadilia utalipa kiasi gani kwa mwaka husika na kama tunavyojua kodi ya mapato kisheria ni 30% ila utakavo kuwa unajikadilia icpungue kwa 25%(kama c kosei) na pia ukifika huko kodi inakatwa kwa kuangalia faida gani umefanya/utafanya tofauti na wenye mauzo chini ya millioni 20 wanakatwa kuendana na mauzo sio faida.. pia kama mauzo yako ni zaidi ya millioni 20 ila faida yako c zaid ya millioni 1.8 - millioni 2 hulipi kodi kabsa ila ikiwa faida tako ni millioni 2 hadi 5 (nazani) unalipa kwa 9% koo kwa mazingira aliyo yasema huyo inakuwa tabu kuelewa alkuwa kwenye kundi lipi napenyew ukiangalia vzuri hamna sehem kufikia hapo ambayo itakwambia unatakiwa kulipa million 2 as kodi annually
Mkuu hizo sheria zipo na sio kama hao TRA hawazijui wanazijua sanaKwa mm navojua sheria inavosema TRA anamamlak ya kukadilia kodi utakayo lipa endapo tu mauzo yako hayazidi millioni 20 kwa mwaka kwa maana io yakizidi hapo inakuwa kinyume ww ndo unakadilia utalipa kiasi gani kwa mwaka husika na kama tunavyojua kodi ya mapato kisheria ni 30% ila utakavo kuwa unajikadilia icpungue kwa 25%(kama c kosei) na pia ukifika huko kodi inakatwa kwa kuangalia faida gani umefanya/utafanya tofauti na wenye mauzo chini ya millioni 20 wanakatwa kuendana na mauzo sio faida.. pia kama mauzo yako ni zaidi ya millioni 20 ila faida yako c zaid ya millioni 1.8 - millioni 2 hulipi kodi kabsa ila ikiwa faida tako ni millioni 2 hadi 5 (nazani) unalipa kwa 9% koo kwa mazingira aliyo yasema huyo inakuwa tabu kuelewa alkuwa kwenye kundi lipi napenyew ukiangalia vzuri hamna sehem kufikia hapo ambayo itakwambia unatakiwa kulipa million 2 as kodi annually