Ushauri namna ya ku deal na mabinti wa kibajuni...

Ushauri namna ya ku deal na mabinti wa kibajuni...

Kuna mwenzangu ameoa Binti wa kibajuni sasa anamsumbua kweli kweli na hata mwaka haujaisha... Mara anaenda kwao na hataki kurudi kwa Mume wake, ama anaenda kwa Mume wake anashinda kiasi anapika anafanya usafi then anaenda kulala kwa Mamake... Jamaa akimuambia Mamake kuhusu hili jambo Mamake anasema "mimi naongea nae lakini hanisikii!!!"

Baadhi ya watu wanasema Wasichana wakibajuni wanapenda sana kukaa karibu na Mama zao hasa wakiwa wanaishi karibu karibu.

Naomba tumshauri kwa busara please.
Kuna watu wanaitwa wabajuni? Ulichoandika ni utamduni wa wanawake wengi wa uswahili. Hawa mpaka wazeeke huweza kuolewa hata mara tano. Huwa wana visingizo kibao vya kurudi kwao... nakenda kuuguza, kuna msiba, kuna sherehe, shoga yangu ana ''bez-dei''...... na kila wakirudi wanakutana na wanaume walikua au kusoma nao pale mtaani.
 
Kakurupukia tako pasi kujua utamaduni wao! Jamii ya bajuni inafuata mfumo maalum ambapo kwao hata mwanamume anapooa, huenda kuishi katika familia ya mke wake. Sasa mshauri huyo nduguyo ili afaidi penzi la mkewe vizuri ahamie ukweni! Ingawa sisi huku tatamcheka na kumdharau maisha yake yoote kuwa kaolewa.
 
Yani hawawezi badilika?
 
kama imeshindikana waangalie taratibu zingine,
 
Back
Top Bottom