Ushauri namna ya ku deal na mabinti wa kibajuni...

Kuna watu wanaitwa wabajuni? Ulichoandika ni utamduni wa wanawake wengi wa uswahili. Hawa mpaka wazeeke huweza kuolewa hata mara tano. Huwa wana visingizo kibao vya kurudi kwao... nakenda kuuguza, kuna msiba, kuna sherehe, shoga yangu ana ''bez-dei''...... na kila wakirudi wanakutana na wanaume walikua au kusoma nao pale mtaani.
 
Kakurupukia tako pasi kujua utamaduni wao! Jamii ya bajuni inafuata mfumo maalum ambapo kwao hata mwanamume anapooa, huenda kuishi katika familia ya mke wake. Sasa mshauri huyo nduguyo ili afaidi penzi la mkewe vizuri ahamie ukweni! Ingawa sisi huku tatamcheka na kumdharau maisha yake yoote kuwa kaolewa.
 

Yani hawawezi badilika?
 
kama imeshindikana waangalie taratibu zingine,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…