Ushauri: Namna ya kufanikiwa maishani

1.Acha anasa
2.punguza commitment yako kwenye mapenzi
3.Focus kwenye kufanikiwa
4.Kuwa na Roho Ngumu
5.Kuwa na Roho Mbaya

Kuwa na roho ngum namaansha uweze kufanya maamuz magum...hata kama wajua yatawakera watu wako wa karibu

Kuwa na roho mbaya namaanisha sio kila unachoombwa utoe...na kama ukitoa icwe kwa mda huo...!!na pia isiwe kwa kiasi kinachotakiwa

Ukiendekeza saana misaada...huruma...na commitment kwa watu wengine katika safari yako ya mafanikio....daima hutaifikia...!!sisemi usisaidie ndugu....saidia lakn kuwa na mipaka kwenye msaada wako
 
Jinsi ulivyoiwakilisha hii mada mkuu naona unajielewa sana(mtazamo wangu). Starehe unazozifanya zinachangiwa sana na umri wako hivyo unahitaji kujicontrol sana. Usijibane sana kwani kama kijana kuna mambo unatakiwa kuyafanya ila kuwa na kiasi. Tambua kwamba kuna mambo ukiyaendekeza yatazima ndoto zako zote mkuu,hivyo kuwa makini sana. Jifunze sana kusave na jinsi ya kujiongezea kipato kupitia njia mbali mbali.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Dah umezungumza kweli mkuu, Nina katabia cha kutoa toa ndugu ama rafiki akisema nimkopeshe. Alafu naishia kutokulipwa....
 

Endelea na starehe umalize kabisa ndiyo uje tukushauri namna ya kupata pesa / saiv si unazo ndyo maana unafanya starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…