mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
siwezi kuiwekeza yote sababu kuna mahitaji hapo kama pesa ya kula na vitu vingine vidogo vidogo inatoka hapo hapofanya kwanza cash multplication yan hyo laki 3 iwekeze alafu fedha zikiongezeka....uje tukushauri cha kufanya........
tumia elfu 30...alafu wekeza 270000...............siwezi kuiwekeza yote sababu kuna mahitaji hapo kama pesa ya kula na vitu vingine vidogo vidogo inatoka hapo hapo
We mhaya nini?!Duh! Unaishije kwa laki tatu? Mimi ni milioni tatu kasoro ila bado mambo magumu.
dhuu ayatumia elfu 30...alafu wekeza 270000...............
kama hutaki kutajirika tumia 270000 alafu wekeza elf 30....................dhuu aya
We mhaya nini?!
Japo kuwa ujasema kama umepangisha ama hujapangisha ,Habari ya jumapili wadau,mi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi uwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000) sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa aka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea
asanteJapo kuwa ujasema kama umepangisha ama hujapangisha ,
Lakini pia kama huna fenicha za Ndani isiwe ishu
Nakuambia tuu kwa utashi wangu
Anza kununua godoro , mashuka na neti achana kitanda kwanza
Weka stock ya Chakula na gesi ya miez miwili au mitatu
Usiwe na papala tunza pesa ktk hiko kpnd cha miez mitatu .
Mwezi ujao kawakatie bima ya afya wazazi wako na wewe pia .
Baada ya hapo sasa unatakiwa ujali mda, pesa uiheshimu , kama mnywaji na mvutaj acha .
Weka urafiki na majilani . jitahdi kuwa mshauli na msuluishi maana itakujengea nafasi ya kupata msaada utakapo teleza
Weka malengo ya kupanga mda mfupi , ujibane ukajenge utakuwa huru zaid na mfano wa kuigwa
Kuna mengi nimeacha lakini unatakiwa ujibane avoid magrupu lelemama
Ngoja nitoe ushauri kwa mtizamo wangu. Binafsi naamini kuwa kipato chochote kile mtu anaweza kufanya jitihada na kufika pale anapotaka kufika.Habari ya Jumapili wadau,
Mimi kijana wa miaka 25 ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea kuna kazi naifanya ambayo kwa mwenzi huwa inaniingizia kipato cha laki tatu(300000). Sasa nilikuwa nahitaji mpangilio mzuri wa matumizi wa haka kamshahara kangu ili nipate kubaki na akiba hata wazazi siku wakihitaji msaada wa kifedha nipate kuwasaidia.
Naombeni ushauri wenu mlionitangulia katika maisha ya kujitegemea.
shukran sanaNgoja nitoe ushauri kwa mtizamo wangu. Binafsi naamini kuwa kipato chochote kile mtu anaweza kufanya jitihada na kufika pale anapotaka kufika.
Unapokuwa na kipato chochote kile iwe kikubwa au kidogo ni vyema ukikitumia kwa mgawanyo wa asilimia.
Kuna makundi tofauti kwenye matumizi ya pesa baadhi yake ni:-
1. Matumizi ya kawaida, hapa najumuisha chakula, nauli, vocha, kuhonga, umeme, maji na kadhalika. Kwa kipato chako unaweza ukaelekeza 60% ambayo ni 180,000
2. Matumizi ya ununuzi wa mali binafsi kama kiwanja, gari, simu, furniture na kadhalika. Unaweza ukaelekeza 15% ambayo ni 60,000. Unakuwa unakusanya taratibu taratibu unanunua assets taratibu taratibu.
3. Matumizi ya uwekezaji, hapa ni kama unaanzisha biashara, au unanunua hisa za makampun ili kipato chako kizalishe mara dufu na kadhalika. Unaweza pia ukaelekeza 15% unakusanya huku unafikiria biashara ambayo unaweza ukawekeza.
4. Mfuko wa dharula, hii ni kwaajili ya mambo ambayo haukutarajia kama kuibiwa vitu vya muhim kama simu, matatizo mengne mengine na kadhalika. Unaweza ukaelekeza 10% ambayo ni elfu 30, hii hela hakikisha hauigusi iache ikue hivyo hivyo taratibu ni kwaajil ya dharula tu.
Wakati huo unapambana kuhakikisha unaongeza kipato chako, usiridhike na kipato cha 300,000. Jitahidi kuwa mbahiri kadri uwezavyo zaidi ya mchaga, tupo tulioanza kwa kipato cha 150,000 kwa mwezi na tukaweza.
Kipato kikikua unaweza ukaadjust asilimia zako na ukaongeza fungu lingine ambalo ni matumizi ya starehe na kujifurahisha unayoweza kuiwekea hata asilimia 5% ila kwasasa si vyema ukawa ni hicho kipengele.
dhaa brazaAchana na habar zngne....2mia pesa upate pesa.....ukijitia kubana dogo hutapata pesa
Mkuu bima gani anaweza kata na bei gani ebu saidia hapoJapo kuwa ujasema kama umepangisha ama hujapangisha ,
Lakini pia kama huna fenicha za Ndani isiwe ishu
Nakuambia tuu kwa utashi wangu
Anza kununua godoro , mashuka na neti achana kitanda kwanza
Weka stock ya Chakula na gesi ya miez miwili au mitatu
Usiwe na papala tunza pesa ktk hiko kpnd cha miez mitatu .
Mwezi ujao kawakatie bima ya afya wazazi wako na wewe pia .
Baada ya hapo sasa unatakiwa ujali mda, pesa uiheshimu , kama mnywaji na mvutaj acha .
Weka urafiki na majilani . jitahdi kuwa mshauli na msuluishi maana itakujengea nafasi ya kupata msaada utakapo teleza
Weka malengo ya kupanga mda mfupi , ujibane ukajenge utakuwa huru zaid na mfano wa kuigwa
Kuna mengi nimeacha lakini unatakiwa ujibane avoid magrupu lelemama
Mmmmm....!!!!Duh! Unaishije kwa laki tatu? Mimi ni milioni tatu kasoro ila bado mambo magumu.