Ushauri namna ya kupata chuo cha kufanya phd ulaya 2013

Ushauri namna ya kupata chuo cha kufanya phd ulaya 2013

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891
Nashukuru kwa ushauri toka kwa Frank Gerald. Kwa Frank Mungu akubariki na uzidi kuwa na moyo huo. Ahsante sana.
 
Mtu unataka kusoma phd hata kujieleza huwezi!
 
Perry, sijui PHD wewe unaielewaje. Kikubwa umeelewa. Unaweza kusahihisha, unaweza kushauri, unaweza kukashifu, unaweza kunyamaza ama kufanya chochote unachotaka. Ninachojua watu hatufanani. Unachofikiri wewe usidhani watu wote wanafikiri kama wewe. Na wala hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuamini kwamba yeye ndiye anajua kila kitu na yuko sahihi nyakati zote.

Ahsante Perry.
 
Back
Top Bottom