Ushauri: Namuacha kwasabababu ya harufu sehemu ya siri

Ushauri: Namuacha kwasabababu ya harufu sehemu ya siri

Mh2

Member
Joined
Apr 7, 2014
Posts
90
Reaction score
11
Haki ya Mungu namuacha kwa hali hii.

Wana Jf nawaombeni ushauri.

Kama nisipopata ufumbuzi tunaachana.

Namulaumu sana baba yangu kwa kunitafutia mwanake wa kuoa ambaye anaharufu kali na mbaya sana sehemu zake za siri.

Na ndo maana ni bora kufanyanae mapenzi mwanamke kabla ya kumuoa ili ujue harufu yake,wasukuma wanasema ujue insuh lake.

Anajitawaza kwa sabuni ya are you ama emperie huku umemsimamia, mkishafanya tu mapenzi round ya 1 anatoa harufu kari sana ukeni.

Ningefanya nae mapenzi kabla sijamuoa nisingemuoa.
 
Ulishindwa kutongoza mwenyewe? Mtakuja kuozeshwa nyumba ndogo za babazenu.
 
Ulishajiapiza kumuacha sasa ushauri unaomba wa nini? Ungekuwa na busara hata tone ungeenda naye hospital ukapata ushaur wa kitaalam na ungekuwa umemsaidia zaid kuliko kuja kulalamika huku, huenda wewe manii yako yame expire huko ndo mana ukishammwagia misayansi yako ndo inakunukia mwenyewe.
 
Jaman wanajf,kwa Dr. Ndondi nilishaga enda,na kwa dk. Mwaka.
 
Mwambie asitumie masabuni yenye kemikali sana, tumia sabuni za kawaida mf sabuni ya magadi inaweza saidia.
 
huyo yaweza kua ana fungus kwenye mchakato, mpeleke tu hospital inatibika vizuri tu.....
i smell shida kwenye hiyo ndoa kama umechaguliwa mke, we jamaa unaishi karne ya ngapi?
 
kari....au kali,
ivi wewe mleta uzi wakati baba yako anakutafutia mke mbona huku2ambia
 
kari....au kali,
ivi wewe mleta uzi wakati baba yako anakutafutia mke mbona huku2ambia

kaka we unasema tu,wengine tunaish kwa kufuta wazee we2 wanasema nini. Manake bro alikataa kuchaguliwa mke alipo maliza chuo kikuu udizm. Kilichomfka wanaukoo ndo tunakijua.
 
Yale yale ya jk kutuchangulia rais! Mila nyingine bhana unachanguliwa mke? Mzee wako alishajipigia mzingo akaona unafaa akaona ngoja akuachie we boya
 
kaka we unasema tu,wengine tunaish kwa kufuta wazee we2 wanasema nini. Manake bro alikataa kuchaguliwa mke alipo maliza chuo kikuu udizm. Kilichomfka wanaukoo ndo tunakijua.
kwa ninavyojua baba akikuchagulia mke ujue ameshamla papuchi...ameona anafaaa
 
Mpeleke kwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, wengine hupatwa na hali hiyo baada ya kutumia sindano za uzazi wa mpango wakisafishwa huwa hali hiyo inatoweka
 
Haki ya Mungu namuacha kwa hali hii.

Wana Jf nawaombeni ushauri.

Kama nisipopata ufumbuzi tunaachana.

Namulaumu sana baba yangu kwa kunitafutia mwanake wa kuoa ambaye anaharufu kali na mbaya sana sehemu zake za siri.

Na ndo maana ni bora kufanyanae mapenzi mwanamke kabla ya kumuoa ili ujue harufu yake,wasukuma wanasema ujue insuh lake.

Anajitawaza kwa sabuni ya are you ama emperie huku umemsimamia, mkishafanya tu mapenzi round ya 1 anatoa harufu kari sana ukeni.

Ningefanya nae mapenzi kabla sijamuoa nisingemuoa.

Mpeleke hospital
 
huko pangoni kuna matatizo... mpeleke hospital akachunguzwe.

inaoneka mzee wako mtu wa mila sana, sasa jiulize mara mbili kwa nini akulazimishe kuoa huyo binti... yawezekana si bure hapo.
 
je alishawahi kunawia maji yaliyolowekewa sufuria lililopikiwa ugali? au maji ya malimao au ndimu? yale huwa yanakata harufu zote mbaya kwenye K mwambie pia aongee na wamama watu wazima watamsaidia unaweza kumuacha huyo ukaja mpata anayenuka zaidi kama samaki nguru
 
Back
Top Bottom