Ushauri: Naomba kujuzwa utaratibu wa kuuza korosho zilizobanguliwa (zilizookwa) katika soko la nje ya Tanzania

Ushauri: Naomba kujuzwa utaratibu wa kuuza korosho zilizobanguliwa (zilizookwa) katika soko la nje ya Tanzania

likandambwasada

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
5,402
Reaction score
6,081
Ndugu wana JF kuna nchi kadhaa nimepata connection ya uhitaji wa korosho zilizobanguliwa tayari kwa matumizi ya binadamu

Lakini kikwazo ni kwamba sijajua utaratibu wa kuuza bidhaa hiyo ktk soko la nje

Kwa anyefahamu utaratibu huo na gharama zake tufahamishane.

Natanguliza shukrani.
 
NOTICE TO RAW CASHEWNUT BUYING LICENSE FOR 2017/2018 CROP SEASON.

The Cashewnut Board of Tanzania (CBT) wishes to inform prospective
buyers of Raw Cashew nuts (RCN) that the buying season for the year
2017/2018 opens officially on 1stSeptember, 2017.

In this Crop Season, CBT shall issue two separate Buying Licenses one
for local processors and the other one for RCN Exporters.One buyer can
apply for both licenses depending on the needs. License will be issued
Free of charge after completion of all procedures.

All interested buyers are advised to apply for the relevant licenses upon
filling in the application forms which will be submitted along with
certified copies of:

i. Valid Business license
ii. Taxpayer’ s Identification Certificate (TIN/VAT Certificate)
iii. Company’ s Certificate of Incorporation/Registration.
iv. Two colored passport size photos of the company Representative.
v. Valid Tax Clearance Certificate.

License application forms can be obtained from CBT Head Office in
Mtwara or its Branches in Dar es Salaam, Tunduru and Tanga or can be
downloaded from the website www.cashew.go.tz
 
Back
Top Bottom