Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Hahahaha
Kwanza utakua na mimba chukua UPT fastaHellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .
Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu
Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Nilijua tu comment ya kipumbavu kama hii haiwez kosekanaTafuta hela.
Atakumbuka magari ya kuenda huko kweli?Wewe ni chizi fresh. Tangulia milembe.. tutakujakukujulia hali
Na wewe tafuta hela upunguze hasira zisizokuwa na maana.Nilijua tu comment ya kipumbavu kama hii haiwez kosekana
Kwahiyo hii comment yako ndio ya maana!! 🙆🙆🙆Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.
Mbona kama kuna ukweliHahahaha
Ni hilo au pia masuala ya financial(pesa). Vijana wengi JF wanapitia hii hali, wana stress sana na ndio hao hao wanashinda humu wakisema kataa ndoa, wanajifungia ndani hawataki kupambana na wakiishia kujichua.
Hivyo wanashindwa kuwa consistency ku-focus kwenye maisha yao. Hii ni 85% ya vijana waliopo humu si wote.
Vijana wana stress sana kupita maelezo.
Jamani wewe🤒😂Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.
Mimi natafuta pesa to that i can live my life to the fullest. Natambua kuwa na hasira ni kitu cha kawaida tu kwa bimadamu wala hakihusian na kuwa au kutokua na pesa. Hasira unapaswa kuzi manage, as a real human being.Ndio maana huwa nawaona wapumbavu watu wenye mitazmo kama yii yako, ya kila kitu "tafuta hela". Stupid idiotsNa wewe tafuta hela upunguze hasira zisizokuwa na maana.
Wala sio ya maana kwa kiwango cha akkl zako, lakin atleast sio kama huo uchafu wa "tafuta hela"Kwahiyo hii comment yako ndio ya maana!! 🙆🙆🙆
Kama suala la kutokua na pesa ndio humfanya mtu kuwa na hasira basi maisha yasingekua hiv ilivyo.Hahahaha
Ni hilo au pia masuala ya financial(pesa). Vijana wengi JF wanapitia hii hali, wana stress sana na ndio hao hao wanashinda humu wakisema kataa ndoa, wanajifungia ndani hawataki kupambana na wakiishia kujichua.
Hivyo wanashindwa kuwa consistency ku-focus kwenye maisha yao. Hii ni 85% ya vijana waliopo humu si wote.
Vijana wana stress sana kupita maelezo.
Izo ni dalili za Mental health problem...Na upo stage 4 ambayo ukiingia stage 5 unaanza kuokota makopo na kula majalalani.Hellow
Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .
Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu
Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Kuwa na Hasira ni kawaida kabisa ila jamaa kasema anapatwa na hasira bila sababu yoyoteKama suala la kutokua na pesa ndio humfanya mtu kuwa na hasira basi maisha yasingekua hiv ilivyo.
Hizo vitu kama hasira au huzuni au furah ni human characters tu ambazo mtu anapaswa kujifunza namna ya kuji manage. Haitikiwa izid sana wala kupungua
KUna mahala katika maisha watu waki skip some experiences ,ndio huanza kujitokeza vitu kama hivJamani wewe🤒😂
Sikupingi mkuuKUna mahala katika maisha watu waki skip some experiences ,ndio huanza kujitokeza vitu kama hiv
Lazima kuna sababu kaka. Haiwezekan kukosekana sababu, labda kwakua kaamua kuficha au hajui kujieleza. Huwez kuwa na hasira bila sababu. Ukikaa ukajitathmin lazima tu utajua chanzo nin.Kuwa na Hasira ni kawaida kabisa ila jamaa kasema anapatwa na hasira bila sababu yoyote
Pamojaa chief..zaman (hata sasa) tulikua na utamaduni wa kujumuika pamoja kwa mazungumzo.Sikupingi mkuu
Usiniambie hili jina linasound kiume nibadili🤒😂😂Sio bwana. Huyu ni Leekim49
Noo hapana, ni zuri tu kawaida.Usiniambie hili jina linasound kiume nibadili🤒😂😂