Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Ni Nyegge tu hakuna kingine

Cc Smart911
Hahahaha

Ni hilo au pia masuala ya financial(pesa). Vijana wengi JF wanapitia hii hali, wana stress sana na ndio hao hao wanashinda humu wakisema kataa ndoa, wanajifungia ndani hawataki kupambana na wakiishia kujichua.

Hivyo wanashindwa kuwa consistency ku-focus kwenye maisha yao. Hii ni 85% ya vijana waliopo humu si wote.

Vijana wana stress sana kupita maelezo.
 
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Kwanza utakua na mimba chukua UPT fasta
dalilil za mimba

pili: Utakua huna hela yaan Hasira za karibu na kukosa hela vina uhusiano mkubwa Trust me
Tatu: Una internal conflict kuna vitu wewe na nafsi yako hauko na aman navyo Speak with your body (Hasira haitoki nowhere lazima kuna sehemu inatekenywa

Ukichomoka kwene hizo no 3 Naacha kujiita mwana saikolojia
 
Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.
 
Nilijua tu comment ya kipumbavu kama hii haiwez kosekana
Na wewe tafuta hela upunguze hasira zisizokuwa na maana.
Vijana siku hiz wamekua lege lege sana.
Wanaugua magonjwa ya ya kizungu kama kuku wa broiler.
Sasa mtu unaoandwa tu na hasira et huwez kujinganya? Acha uchanganyikiwe ukafie mbali huko.
Kwahiyo hii comment yako ndio ya maana!! 🙆🙆🙆
 
Hahahaha

Ni hilo au pia masuala ya financial(pesa). Vijana wengi JF wanapitia hii hali, wana stress sana na ndio hao hao wanashinda humu wakisema kataa ndoa, wanajifungia ndani hawataki kupambana na wakiishia kujichua.

Hivyo wanashindwa kuwa consistency ku-focus kwenye maisha yao. Hii ni 85% ya vijana waliopo humu si wote.

Vijana wana stress sana kupita maelezo.
Mbona kama kuna ukweli
 
Na wewe tafuta hela upunguze hasira zisizokuwa na maana.
Mimi natafuta pesa to that i can live my life to the fullest. Natambua kuwa na hasira ni kitu cha kawaida tu kwa bimadamu wala hakihusian na kuwa au kutokua na pesa. Hasira unapaswa kuzi manage, as a real human being.Ndio maana huwa nawaona wapumbavu watu wenye mitazmo kama yii yako, ya kila kitu "tafuta hela". Stupid idiots
Kwahiyo hii comment yako ndio ya maana!! 🙆🙆🙆
Wala sio ya maana kwa kiwango cha akkl zako, lakin atleast sio kama huo uchafu wa "tafuta hela"
 
Hahahaha

Ni hilo au pia masuala ya financial(pesa). Vijana wengi JF wanapitia hii hali, wana stress sana na ndio hao hao wanashinda humu wakisema kataa ndoa, wanajifungia ndani hawataki kupambana na wakiishia kujichua.

Hivyo wanashindwa kuwa consistency ku-focus kwenye maisha yao. Hii ni 85% ya vijana waliopo humu si wote.

Vijana wana stress sana kupita maelezo.
Kama suala la kutokua na pesa ndio humfanya mtu kuwa na hasira basi maisha yasingekua hiv ilivyo.
Hizo vitu kama hasira au huzuni au furah ni human characters tu ambazo mtu anapaswa kujifunza namna ya kuji manage. Haitikiwa izid sana wala kupungua
 
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Izo ni dalili za Mental health problem...Na upo stage 4 ambayo ukiingia stage 5 unaanza kuokota makopo na kula majalalani.

Wahi mirembe mapema
 
Kama suala la kutokua na pesa ndio humfanya mtu kuwa na hasira basi maisha yasingekua hiv ilivyo.
Hizo vitu kama hasira au huzuni au furah ni human characters tu ambazo mtu anapaswa kujifunza namna ya kuji manage. Haitikiwa izid sana wala kupungua
Kuwa na Hasira ni kawaida kabisa ila jamaa kasema anapatwa na hasira bila sababu yoyote
 
Lazima kuna sababu kaka. Haiwezekan kukosekana sababu, labda kwakua kaamua kuficha au hajui kujieleza. Huwez kuwa na hasira bila sababu. Ukikaa ukajitathmin lazima tu utajua chanzo nin.

Halaf pia, one of the very important human skills, ni ku practise mindfulness. Kujua kutuliza na kuji controll over any circumstance, ndio hulka ya mwanadamu, ukishindwa hilo unakua na tofaut gan na mbwa au mbuzi? Unapelekeshwa tu na kila aina ya hisia !.
 
Sikupingi mkuu
Pamojaa chief..zaman (hata sasa) tulikua na utamaduni wa kujumuika pamoja kwa mazungumzo.
Kujadil mambo kadha wa kadha.
Kupitia vile, ulikua mtu unapata kutoa maoni yako na watu wakakusikiliza na wakakuhukumu na wengine kukubaliana na wewe, hali kama ile inawajenga watu kujifunza kukubal kutokbaliana , kujifunza ku manage hasira, kuelewa kwamba sio kila wazo lako tu ndio sahihi, kupokea mitazamo ya wemgine kwa utulivu hata kama hukubaliani nao.

ni kama vile vijana waliopita jkt, yan mpaka umakasirishe, sijui uwe umemwambia neno gani vile. Kila kitu anaona normal tu.
 
Usiniambie hili jina linasound kiume nibadili🤒😂😂
Noo hapana, ni zuri tu kawaida.
But being chief is a non-gender thing. It is a status. Mfano it does care ur gender to be the Chief executive officer 😁
 
Back
Top Bottom