Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Kwanza una heka walau ya kula tu .

Kaka huwa unapiga nyeto au?una muda gani hujapata mbususu.
 
Hiyo kauli lazima ikuchanganye.
Tafuta hela.
 
Mbona hapa umeandika bila hasira na umesema ukienda social media hasira zinapanda na unaanza tukana watu hovyo, mbona hapa hujatukana, acha mizinguo za likes.
 
Ww ni shoga tatizo hilo pepo la kuzimu inabidi likutoke kijana fanya kazi punguza kupenda dezo dezo
 
Tafuta hela dogo, itakusaidia kupunguza upumbavu.
Hela mimi sitafuti dogo, nazitega zinakuja tu. Ndio wenye akil tunavyofanya. Utafute pesa mpaka lini?.

Kwa upande wangu pia nazid kujielimisha kwenye mambo kadhaa ili kupunguza ujinga. Nashkuru kama umeungana na mimi kwamba wewe ni mpumbavu. Japo usisahau, pesa haiondoi upumbavu kama ulio nao. Ni elimu juu ya mambo mbali mbali sawa binti yangu?? .

Acha kuish kwa kusubir nyongeza ya mshahara na kuoanda madaraja, utazeeka zaid madam atoto, umesikia mwalimu?
 
NYOTA YAKO NI IPI
 
Kweli kabisa kukosa pesa sometimes kunafanya mtu anakua sitiresidi balaaa ful hasira ful kufokafoka

Cc Smart911
 
Dogo tafuta pesa upunguze kujielezea na upumbavu.
 
Kwa mtizamo wangu na experience ndogo ya Hali kama hiyo naweza kusema yafuatayo pengine yaweza kukusaidia .......
Kwanza ujue tabia ya binadamu inajengwa kwa mazingira,vina Saba ,pamoja na malezi Sasa kwa kuangalia vitu vyote hivyo Moja kwa Moja naweza kusema shida yako inatokana na malezi pamoja na mazingira ,so yawezkana Katika ukuaji wako umelelewa na wazazi ,au mzazi ,ndugu ,au watu tofauti so naamini malezi ya baba na mama ni tofauti na malezi mengine so yaweza athiri Hali yako kama Mimi nimelelewa na ndugu tofauti na wazazi wangu japo ndugu zangu wengine walilelewa na wazazi Kuna vitu naviona kwangu kama vilikosekana Katika malezi yangu so Kuna tabia zimeletwa na hayo malezi ,vile vile kwenye ishu ya mazingira pia ni muhimu kuangalia na zaidi angalia vinasaba kwa kuangalia Katika familia ni wewe tuu mwenye iyo shida ........ aksante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…