Ushauri: Napandwa na hasira bila sababu pia nimejikuta sipendi kujichanganya na watu. Nifanyeje kuondokana na hali hii?

Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Una matatizo ya akili (Schizophrenia).

Wahi hospitali kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Hana sababu nyingine za kufanya conclusion kwamba ni bipolar! Hii itakuwa ni abnormal condition lakin sio complete disease unless kama ana dalili nyingine zaidi.

Hajakubali kuwa hizi ni hali za vipindi au la. Lakin hii knaonekana inataka haloperidol kiasi na kubadili life style. Angebainisha anasocialize na nani na interaction yao inazalishaga nn ningemwambia ajiengue hapo..

Mtoa mada nn kingine unaona kimebadilika
Haloperidol inasaidia sana ku control kiwango cha dopamine ambacho mara nyingi kikizidi kinapelekea matatizo ya kiakili kama ya mleta mada.
 
Una matatizo ya akili (Schizophrenia).

Wahi hospitali kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Hawez kuwa na schizophrenia mkuu.. hiyo schizophrenia ni chronic disease zaidi ya depression. Hizi ni stress tu ila anazipa mda zimgande. Huo muda anaojitenga na Watu anautumia kufikiria jambo huyu
 
Hellow

Ipo hivi hii hali ninayo toka nikiwa mdogo lakini haikuwa inajionyesha sana kama ilivyo kwa sasa hivi naweza nikawa nimekaa hivi nikapandwa na hasira gafla na kilichonifanya nipandwe na hasira nisikijue .

Pia naweza kuwa natamani kwenda kwenye social group ila nikifika pale hasira zikapanda ghafla nikaaza jibu watu ovyo pia najikuta napenda kukaa peke yangu sana sipendi kukaa na watu now days watu wakija kushare idea nachukia kitu hiki kimeendelea mpaka kwenye mahusihano yangu

Lovely aneweza nipigia simu vizuri kabisa ila wakati naongea nae najikuta hasira zinapanda nakata simu au namjibu majibu ya ovyo then nikitulia najutia nashindwa jizuia na hii hali mpaka sasa napenda interactions lakinI ndio hivyo halii inanizidi nguvu how I can overcome this problem 😌
Una pepo mchafu anaye kusumbuwa nitafute kwa wakati wako il nipate kukutibia maradhi yako
 
Hana sababu nyingine za kufanya conclusion kwamba ni bipolar! Hii itakuwa ni abnormal condition lakin sio complete disease unless kama ana dalili nyingine zaidi.

Hajakubali kuwa hizi ni hali za vipindi au la. Lakin hii knaonekana inataka haloperidol kiasi na kubadili life style. Angebainisha anasocialize na nani na interaction yao inazalishaga nn ningemwambia ajiengue hapo..

Mtoa mada nn kingine unaona kimebadilika
Anaweza pia akawa na chuki within ambazo hawezi kuzi control anajikuta tu anakasirishwa na mambo ambayo hayana hata msingi...

Cc: Mahondaw
 
Watu mnaandika magonjwa ya kizungu hapa huyu kinachomtesa ni nyege

Ukikaa mda mrefu hujapiga mzigo unakua na hasira flan, unakua na akili flan ya kila demu mkali unamuona kama Malaya hv, hapo ukute hela naee hazishkiki.

Mtoa mada njoo na hasira zako
Hahahah😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom