Ushauri: Natafuta field, nasoma Electronics and Telecom

Ushauri: Natafuta field, nasoma Electronics and Telecom

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Habari zenu wana Jf,Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza katika chuo cha dit kwa fani tajwa hapo juu,naomba nisaidie mawazo wapi nipeleke barua ya field?
 
Uliza Waliokutangulia Kama Mwaka Wa 2 Na 3 Watakufahamisha Vizuri.
 
Habari zenu wana Jf,Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza katika chuo cha dit kwa fani tajwa hapo juu,naomba nisaidie mawazo wapi nipeleke barua ya field?

Mimi pia ni mwanafunzi hapo Dit nasoma umeme mwaka wa 3 unaweza peleka bandarini,airport,kwenye makampuni ya simu,vituo mbalimbali vya redio na television n.k wahi tuma barua yako mapema
 
Back
Top Bottom