Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana Jf,Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza katika chuo cha dit kwa fani tajwa hapo juu,naomba nisaidie mawazo wapi nipeleke barua ya field?
upo level ganMimi pia ni mwanafunzi hapo Dit nasoma umeme mwaka wa 3 unaweza peleka bandarini,airport,kwenye makampuni ya simu,vituo mbalimbali vya redio na television n.k wahi tuma barua yako mapema