Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 445
mi nilitakaga kujiunga mwaka juzi lakini nilipofuatilia kwa undani jinsi faida inavyopatikana nikagundua ni upatu fulani hivi, hivyo nikakata tamaa!
nilivyoelewa mimi (i stand to be corrected) unapata faida kwa commission, na hiyo commission unaipata toka kwa mtu uliyemshawishi kujiunga. Ninaamini na wewe umeshawishiwa, hivyo aliyekushawishi ndo atafaidika na kujiunga kwako. Then wewe utafaidika na wale utakaowashawishi kujiunga! Ni ka-pyramid fulani hivi....!
NI kweli kama usemavyo, zipo clip za watu waliofanikiwa nimeziona. Iseje ikawa kuna nguvu za giza!!!!!!!!!!!!!!!!
Habari Wanajamvi,
Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.
Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
dnt wory u hav nothing to loose,n usiseme kudeposit,haudeposit bal unanunua bidhaa za 750,000 ambazo utatumia we na ua family or ny!tz a gud businec,try ua luck people wanafanikiwa sana kupitia hyo!me nafanya so i knw wat am talkin abt!n imenipa faida kubwa sana ndan ya muda mfupi tu,mentally,physically n ofcoz economically
Hapa unachezea shilingi kwenye tundu la choo, hiyo nguvu ya kuwashauri watu kuingia ni bora uitumie kwenye ufugaji ukianza na mtaji wa hela uliyo nayo. Jamaa yangu Prince Hope usidanganyike fanya utafiti wa kutosha wengi wameingia na wamelizwa vibaya na kubaki na bidhaa au kugawa kwa ndugu na jamaa huku waliowadanya wakipata point za kumove madaraja. Please nami nina uzoefu na mifano ya waliolizwa, hii siyo biashara salama utachoreka mjini hadi uingie mtini kwani wengi watakuona tapeli.....Rudia jinsi ya kupata hela zingatia uwezo wako wa kushawishi kisha uwe mbayuwayu i.e za kushauriwa na zako fanya maamuzi. 2 me this is not a business.
Habari Wanajamvi,
Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.
Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
Kaka hapo utakuwa unafanya kazi ya kutoa mbwa yani ni sawa na kufanya biashara ya kutoa ndizi matoke mwanza halafu unaenda kuziuza Bukoba....Nakumbuka mwaka 2008 wakati bado nasoma chuo kuna jamaa yangu mmoja mchaga baada ya kupokea bumu lake, akaenda kununua mzigo wa laki sita..Mama yangu jamaa alibakia kuzitumia dawa yeye mwenyewe..PIGA CHINI MARA MOJA ACHANA KABISA NA HILO WAZO UNLESS OTHERWISE KAMA NIA YAKO NI KUJA NA UZI MWINGINE HAPA BAADA YA MIEZI MITATU KUHUSU HASARA UTAKAYO IPATA.
Habari Wanajamvi,
Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.
Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
"If you believe you can, and believe it strongly enough, you'll be amazed at what you can do." kila mmoja ana namna yake ya kufanya biashara nyie mlioshindwa msipotoshe ukweli ikikushindwa wewe haina maana hata mwezako atashindwa na wengine waliingia kwa tamaa ya kupata hela mapema na kabla haujajua nin cha kufanya wakaingia na ikawashinda.
Network marketing is the futuristic way of doing business now this is my personal website you can view the clips an have a look at how the business is done before going int it http://www.naturalhealthandbeauty.flppro.biz/. usipokuwa na msimamo ukashirikisha watu hususan ktk jambo nzuri kama biashara ya mtandao wengi watakupinga kwa kuogopa utafanikiwa sana kuwazid wao au wana sababu nyingine za kwao.Lakin usifikiri wanakuonea hurum utapoteza hela yako, wewe ndo unajua kwa nin umeamua kuwekeza so usikubali mtu mwingine akupotezee ndoto zako.
Unapaswa kujua siyo kila mtu anaweza kuona ulichokiona na ukaamua kutaka kuwekeza kama unavyosema
Habari Wanajamvi,
Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.
Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
Fanya research kidogo ya uelewa wa watu juu ya hayo mambo kwa eneo lililokuzunguka.Kwa sasa uwezekano mkubwa ni kwamba itakula kwako...zamani wakti haijulikanijulikani ukiwa na passion ya networking na nguvu ya ushawishi ilikuwa inalipa...sasa hvi ni tofauti,nina jamaa zangu waliiwahi enzi zileeee,imewatoa,lakini hata wao kwa sasa wameanza kusambaa mpaka hata nchi za jirani kutafuta maeneo ambayo soko halijawa saturated so uncertainity ya kupata faida ipo juu ukilinganisha na njia nyingine za kujaribu kuzungusha hiyo hela...kama huo mtaji hautakuuma,fanya for the experience na pocble faida.....lakini hakikisha hayo manunuzi ya kwanza ni ya bidhaa ambazo hata wewe zitakusaidia kama mambo yakiwa magumu.🙂