Ushauri: Nataka ku INVEST 750,000- Forever Living

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,155
Reaction score
445
Habari Wanajamvi,

Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.

Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
 
mi nilitakaga kujiunga mwaka juzi lakini nilipofuatilia kwa undani jinsi faida inavyopatikana nikagundua ni upatu fulani hivi, hivyo nikakata tamaa!

nilivyoelewa mimi (i stand to be corrected) unapata faida kwa commission, na hiyo commission unaipata toka kwa mtu uliyemshawishi kujiunga. Ninaamini na wewe umeshawishiwa, hivyo aliyekushawishi ndo atafaidika na kujiunga kwako. Then wewe utafaidika na wale utakaowashawishi kujiunga! Ni ka-pyramid fulani hivi....!
 
NI kweli kama usemavyo, zipo clip za watu waliofanikiwa nimeziona. Iseje ikawa kuna nguvu za giza!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama unaweza kushawishi watu wakajiunga basi utafanikiwa. Lakini kama uko kama mimi mmmhhh...itakula kwako ndg yangu! Mi nilikataa kwa kuwa siwezi mambo ya marketing na sina ushawishi huo kwa kweli.

Ni kweli wapo waliofanikiwa, lakini waulize ni after how long? hapo ndo siri ilipo, itakubidi ufanye kazi kama wale ma-salesmen au free racers wa makampuni ya simu ndo uli-realize profit. So if you don't have time and committment (like me) utazika hizo hela zako!
 
Habari Wanajamvi,

Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.

Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.

dnt wory u hav nothing to loose,n usiseme kudeposit,haudeposit bal unanunua bidhaa za 750,000 ambazo utatumia we na ua family or ny!tz a gud businec,try ua luck people wanafanikiwa sana kupitia hyo!me nafanya so i knw wat am talkin abt!n imenipa faida kubwa sana ndan ya muda mfupi tu,mentally,physically n ofcoz economically
 
thanx for piece of advice
 
Hapa unachezea shilingi kwenye tundu la choo, hiyo nguvu ya kuwashauri watu kuingia ni bora uitumie kwenye ufugaji ukianza na mtaji wa hela uliyo nayo. Jamaa yangu Prince Hope usidanganyike fanya utafiti wa kutosha wengi wameingia na wamelizwa vibaya na kubaki na bidhaa au kugawa kwa ndugu na jamaa huku waliowadanya wakipata point za kumove madaraja. Please nami nina uzoefu na mifano ya waliolizwa, hii siyo biashara salama utachoreka mjini hadi uingie mtini kwani wengi watakuona tapeli.....Rudia jinsi ya kupata hela zingatia uwezo wako wa kushawishi kisha uwe mbayuwayu i.e za kushauriwa na zako fanya maamuzi. 2 me this is not a business.
 
Mkuu umemaliza kila kitu hapo kwa red, asomaye na afahamu!
 
Habari Wanajamvi,

Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.

Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.

Kaka hapo utakuwa unafanya kazi ya kutoa mbwa yani ni sawa na kufanya biashara ya kutoa ndizi matoke mwanza halafu unaenda kuziuza Bukoba....Nakumbuka mwaka 2008 wakati bado nasoma chuo kuna jamaa yangu mmoja mchaga baada ya kupokea bumu lake, akaenda kununua mzigo wa laki sita..Mama yangu jamaa alibakia kuzitumia dawa yeye mwenyewe..PIGA CHINI MARA MOJA ACHANA KABISA NA HILO WAZO UNLESS OTHERWISE KAMA NIA YAKO NI KUJA NA UZI MWINGINE HAPA BAADA YA MIEZI MITATU KUHUSU HASARA UTAKAYO IPATA.
 
usimdanganye,me nafanya na cjawah kuregret hta one day!hata ufugaj wa kuku kuna watu umewashinda!
 
kama ni muoga na unaish kwa kufata watu wala usiingie,bt kama una maamuz yako mwenyewe,fanya unachojisikia,bt usiige mifano ya walioshndwa!hao wte wanao crash hakuna hta mmoja anayeijua hii businec achilia mbal products vizur,me ni mfano nilikuwa nina athma na mafua yasiyoisha,by nw am vry ok
 
Habari Wanajamvi,

Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.

Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.

Dada/Kaka usikubali kupotoshwa na watu watu wasioijua hii biashara kwani wengi wao huku hawaijui na hawana experience yeyote. Nataka utembelee this link from an excellent and highly reputable source (Business News & Strategy For Entrepreneurs | Entrepreneur.com) one of the best and leading providers of entrepreneurship information on the planet. Pia wana majarida yao mbali mbali kuhusu entrepreneurship (ujasiriamali) Ukweli wote utaupata huko ni wewe binafsi kuamua. Learn the differences between network marketing & pyramid schemes. Tafadhali bonyeza HAPA kusoma zaidi !!
# Best of luck.
 
“If you believe you can, and believe it strongly enough, you’ll be amazed at what you can do.” kila mmoja ana namna yake ya kufanya biashara nyie mlioshindwa msipotoshe ukweli ikikushindwa wewe haina maana hata mwezako atashindwa na wengine waliingia kwa tamaa ya kupata hela mapema na kabla haujajua nin cha kufanya wakaingia na ikawashinda.
Network marketing is the futuristic way of doing business now this is my personal website you can view the clips an have a look at how the business is done before going int it
http://www.naturalhealthandbeauty.flppro.biz/. usipokuwa na msimamo ukashirikisha watu hususan ktk jambo nzuri kama biashara ya mtandao wengi watakupinga kwa kuogopa utafanikiwa sana kuwazid wao au wana sababu nyingine za kwao.Lakin usifikiri wanakuonea hurum utapoteza hela yako, wewe ndo unajua kwa nin umeamua kuwekeza so usikubali mtu mwingine akupotezee ndoto zako.
Unapaswa kujua siyo kila mtu anaweza kuona ulichokiona na ukaamua kutaka kuwekeza kama unavyosema
 
"If you believe you can, and believe it strongly enough, you'll be amazed at what you can do." kila mmoja ana namna yake ya kufanya biashara nyie mlioshindwa msipotoshe ukweli ikikushindwa wewe haina maana hata mwezako atashindwa na wengine waliingia kwa tamaa ya kupata hela mapema na kabla haujajua nin cha kufanya wakaingia na ikawashinda.
Network marketing is the futuristic way of doing business now this is my personal website you can view the clips an have a look at how the business is done before going int it
http://www.naturalhealthandbeauty.flppro.biz/. usipokuwa na msimamo ukashirikisha watu hususan ktk jambo nzuri kama biashara ya mtandao wengi watakupinga kwa kuogopa utafanikiwa sana kuwazid wao au wana sababu nyingine za kwao.Lakin usifikiri wanakuonea hurum utapoteza hela yako, wewe ndo unajua kwa nin umeamua kuwekeza so usikubali mtu mwingine akupotezee ndoto zako.
Unapaswa kujua siyo kila mtu anaweza kuona ulichokiona na ukaamua kutaka kuwekeza kama unavyosema

Thanks for a piece of advice.
 
Habari Wanajamvi,

Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.

Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.

Hii ni kama bsnss nyingine what u need is to have a great Posituve attitude:no easy task
 
Naomba mnipm niwape idea ambayo ni rahic kufika level za juu plus unatengeneza hela fastaaaa
 
Huu ni uchuuzi, au tuseme hakuna tofauti na umachinga. Hizo bidhaa zenyewe zinapewa umaarufu tu lakini are no better than common ones. fikiria tu business nyingine, hii tupa kule, utasaga lami hadi uchoke. Bidhaa za 750 k sudhani kama unazihitaji ili uzitumie. tumia bongo mkuu
 
Mkuu kama kuna opportunities zingine hata kama zina faida ndogo kivipi ni bora ukafanye kuliko huu upatu, mm nilishafanya miaka mitano iliyopita nikiwa nasoma na jamaa zangu kwa kweli ni biashara ngumu sana na anayefaidika ni yule anayekushawishi wewe, sisi tulishanunua hadi ma projector tukafanya seminar na watu mbali mbali na tulishakutana hadi na kijana mdog aliyefanikiwa kuhusu hiyo biashara akatupa stori wee lakini hazikusaidia. kibaya zaidi kwa muda huu watu wengi wameshajua kuhusu hizo bidhaa na huo upatu so kumshawishi mtu ni ngumu sana. wengi tuliishia kuzitumia wenyewe na kuhonga kibaya zaidi tulifungua hadi office tukashindwa hata kulipia pango.

mwisho wa siku ni uamuzi wako wewe, kama kawaida ya biashara wengine wanafanikiwa wengine ndo kama sisi iligoma kabisa.
 
Fanya research kidogo ya uelewa wa watu juu ya hayo mambo kwa eneo lililokuzunguka.Kwa sasa uwezekano mkubwa ni kwamba itakula kwako...zamani wakti haijulikanijulikani ukiwa na passion ya networking na nguvu ya ushawishi ilikuwa inalipa...sasa hvi ni tofauti,nina jamaa zangu waliiwahi enzi zileeee,imewatoa,lakini hata wao kwa sasa wameanza kusambaa mpaka hata nchi za jirani kutafuta maeneo ambayo soko halijawa saturated so uncertainity ya kupata faida ipo juu ukilinganisha na njia nyingine za kujaribu kuzungusha hiyo hela...kama huo mtaji hautakuuma,fanya for the experience na pocble faida.....lakini hakikisha hayo manunuzi ya kwanza ni ya bidhaa ambazo hata wewe zitakusaidia kama mambo yakiwa magumu.🙂
 
Angalia expiry date, madampo ya taka yapo mbali sana !!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom