Huu ni uchuuzi, au tuseme hakuna tofauti na umachinga. Hizo bidhaa zenyewe zinapewa umaarufu tu lakini are no better than common ones. fikiria tu business nyingine, hii tupa kule, utasaga lami hadi uchoke. Bidhaa za 750 k sudhani kama unazihitaji ili uzitumie. tumia bongo mkuu
Habari Wanajamvi,
Nimeelezwa Network Marketing ya Forever Living Products inalipa. Natakiwa ku deposit Tshs 750,000. Mwenye ukweli kuhusu hii business.
Nimejaribu ku search kwenye mitandao, maelezo mengi yanaanza kwa ku clash upotoshaji wa hii biashara. Nimepatwa na mashaka, naombeni ushauri.
Ilianza GNLD watu wakaingia kwa mbwembwe kisha wengi ikala kwao. Hata kwenye deci wapo walio nufaika lakini wengi ikala kwao. Si lazima kila mtu awe mjasiria mali, je kwa sasa unafanya shunghuli gani?
Binafsi sijakuelewa unachotaka kuzungumzia...toa facts zinazoeleweka mkuu!Hamjaisoma fresh hii biashara, nitafteni niwape njia ya kufikia manager just for one month u don't have to sell products wala kumconvice mtu aingie chini yako what your suppose to do just kumuinvite mtu kweny presentations tu, just for one week nimekuwa supervisor ninaelekea kuwa assistant manager na ndani ya mwezi nakuwa manager huu sio uongo tar 15 nmeingiziwa lak 4 kwenye my account next month nna more than 1m, amkeni watanzania, na kuna mambo meeengiiii yakukuongezea kipato mfano kununua shares only members wanatakiwa kununua tena kwa bei rahiiisi