Nimefuatilia maoni ya waliotangulia nimechoka mwenyewe. Kwa kweli wengi wape, hiyo siyo biashara ya kufanya.
Ni ukweli mtupu sasa hivi kumconvince mtu kununua hizo products ni vigumu kwa sababu watu walishazistukia, sasa ndiyo itakuwa kuwambia wajiunge kabisa! Bahati mbaya zaidi wanaojaribu kuwaconvice watu waingie kwenye hiyo biashara wenyewe waanakuwa wamechoka, hawana mafanikio yeyote.
Anyway...mwisho wa siku chagua ni lako, kusuka au kunyoa.