Ungetueleza kwanini hasa una taka kusoma Diagnostic Radiography. Najua rushwa ndio kimbilio la wengi. Kwenye Diagnostic Radiography kuna rushwa sana na ndio maan vijana wengi hukimbilia huko. Lakini Bachelor in computer science ni nzuri na ina future nzuri kuliko hicho ki diploma. Ningekueleza mengi lakini hapo inatosha.