Hakuna kada yenye afadhari, tatizo LA ajira ni kubwa Sana, haijarishi unasoma kozi gani,Habari zenu wakuu,
Naitwa Jason kwa sasa nasoma Chuo Cha uhasibu Arusha (IAA), kozi ni Bachelor Degree in Computer Science naingia sasa mwaka wa pili lakini nina dukuduku nyumbani wanasema hii kozi nitahangaika huko mbeleni kupata kazi ya maslahi ni bora ningekua nasoma Afya kungeweza kuwa na afadhali, lakini Sasa nimeshasoma mwaka mmoja.
Kuna wazo limeniijia kichwani kwamba niachane nayo alafu nikasome Diploma kozi ya Afya (Diagnostic Radiography).
Naombeni ushauri wakuu lipi wazo Bora kuendelea nayo au nikasome hyo Diploma ya kozi ya Afya,
Ahsanteni [emoji120][emoji120][emoji120]
Sahihi kabisaIla maisha hayana formula ,yupo jamaa yangu amesoma kilimo now yupo kampuni ya wazungu ya mbegu South kama K/koo. Katupiga bao watu kibao anavuta mpunga wa hatari.
Maliza kozi hiyo mkuu usibabaike maisha ni malengo na mipango.
Kasome chaap Radiology hiyo.Habari zenu wakuu,
Naitwa Jason kwa sasa nasoma Chuo Cha uhasibu Arusha (IAA), kozi ni Bachelor Degree in Computer Science naingia sasa mwaka wa pili lakini nina dukuduku nyumbani wanasema hii kozi nitahangaika huko mbeleni kupata kazi ya maslahi ni bora ningekua nasoma Afya kungeweza kuwa na afadhali, lakini Sasa nimeshasoma mwaka mmoja.
Kuna wazo limeniijia kichwani kwamba niachane nayo alafu nikasome Diploma kozi ya Afya (Diagnostic Radiography).
Naombeni ushauri wakuu lipi wazo Bora kuendelea nayo au nikasome hyo Diploma ya kozi ya Afya,
Ahsanteni [emoji120][emoji120][emoji120]
Nashukuru mkubwa Kwa ushauri ππUngetueleza kwanini hasa una taka kusoma Diagnostic Radiography. Najua rushwa ndio kimbilio la wengi. Kwenye Diagnostic Radiography kuna rushwa sana na ndio maan vijana wengi hukimbilia huko. Lakini Bachelor in computer science ni nzuri na ina future nzuri kuliko hicho ki diploma. Ningekueleza mengi lakini hapo inatosha.
Nimekupata vyema mkuu πHakuna kada yenye afadhari, tatizo LA ajira ni kubwa Sana, haijarishi unasoma kozi gani,
Nikupe mfsno wangu binafsi, miaka ya 2000,wakati namaliza secondary ndugu na jamaa walinishawsishi nichague kusoma civil engineering, badala ya electrical, wengine wakasema niende form six, badala ya College,
Mimi ndani yangu, "little did they know" Tangu nikiwa shule ya msingi, nilikuwa nashangszwa na kuvutiwa na mifumo ya umeme,
I made up my mind from a tender age of 11yrs, that I will be an engineer,
Sijawahi kujuta!
Kama ajira wameishakutafutia, kapige shule, Ila kama ni story tu, unajua hii kozi inalipa, hizo ni swaga tu, hazina mashiko.
Nimelipokea hili mkuu βBila kupepesa keypads usiache computer science, ninachoona umekosa interest jopange upya soma kwa bidii ili mapenzi ya kozi hii yaongezeke na kurudi kama wakati unaapply, mawazo ya kuiacha ayatakuja tena
Nieleze tu mkuu .. ili nipate uelewa wa kutoshaUngetueleza kwanini hasa una taka kusoma Diagnostic Radiography. Najua rushwa ndio kimbilio la wengi. Kwenye Diagnostic Radiography kuna rushwa sana na ndio maan vijana wengi hukimbilia huko. Lakini Bachelor in computer science ni nzuri na ina future nzuri kuliko hicho ki diploma. Ningekueleza mengi lakini hapo inatosha.
Habari zenu wakuu,
Naitwa Jason kwa sasa nasoma Chuo Cha uhasibu Arusha (IAA), kozi ni Bachelor Degree in Computer Science naingia sasa mwaka wa pili lakini nina dukuduku nyumbani wanasema hii kozi nitahangaika huko mbeleni kupata kazi ya maslahi ni bora ningekua nasoma Afya kungeweza kuwa na afadhali, lakini Sasa nimeshasoma mwaka mmoja.
Kuna wazo limeniijia kichwani kwamba niachane nayo alafu nikasome Diploma kozi ya Afya (Diagnostic Radiography).
Naombeni ushauri wakuu lipi wazo Bora kuendelea nayo au nikasome hyo Diploma ya kozi ya Afya.
Ahsanteni [emoji120][emoji120][emoji120]
Una ujinga mwingi aseeHabari zenu wakuu,
Naitwa Jason kwa sasa nasoma Chuo Cha uhasibu Arusha (IAA), kozi ni Bachelor Degree in Computer Science naingia sasa mwaka wa pili lakini nina dukuduku nyumbani wanasema hii kozi nitahangaika huko mbeleni kupata kazi ya maslahi ni bora ningekua nasoma Afya kungeweza kuwa na afadhali, lakini Sasa nimeshasoma mwaka mmoja.
Kuna wazo limeniijia kichwani kwamba niachane nayo alafu nikasome Diploma kozi ya Afya (Diagnostic Radiography).
Naombeni ushauri wakuu lipi wazo Bora kuendelea nayo au nikasome hyo Diploma ya kozi ya Afya.
Ahsanteni πππ
Kwa maisha ya kiafrika kuishi kimalengo ni ngumu huku tunaishi kifursaDuuuh sema siwezi m judge San kwa7b watu tunatofautian life style.. na malez ya wazaz wetu
Binafsi sikushauri uache chuo.... Hakuna kitu kibaya kama miluzi Mingi... Carrier ni siri ya Mungu na hakuna ajuaye ni kitu gani kitamfanya afanikiwe... Wewe piga GPA Kali uone kama hutopata Ajira... AJIRA KIBAO TU SEMA WATU HAWANA SIFA... Gonga Computer Science ukimaliza Piga Driving course VIP 2 Kama plan B... Gonga na CISA Kabisa afu jisajili Ajira portal .. Kazi za professional zikisumbua omba Udereva... Kisha baada ya Muda hamia Kada yakoHabari zenu wakuu,
Naitwa Jason kwa sasa nasoma Chuo Cha uhasibu Arusha (IAA), kozi ni Bachelor Degree in Computer Science naingia sasa mwaka wa pili lakini nina dukuduku nyumbani wanasema hii kozi nitahangaika huko mbeleni kupata kazi ya maslahi ni bora ningekua nasoma Afya kungeweza kuwa na afadhali, lakini Sasa nimeshasoma mwaka mmoja.
Kuna wazo limeniijia kichwani kwamba niachane nayo alafu nikasome Diploma kozi ya Afya (Diagnostic Radiography).
Naombeni ushauri wakuu lipi wazo Bora kuendelea nayo au nikasome hyo Diploma ya kozi ya Afya.
Ahsanteni πππ
Hey ivi business administration au accounts ipi bora?Broadly speaking haupo sahihi kufuata maelekezo ya watu wa nyumbani. Swali kuu ni je unaipenda kozi ya kompyuta science au hiyo kozi yako wanayotaka wa nyumbani kwenu ukasome. Inaonekana kama bado hujui namna ya kufanya maamuzi.
Mimi ningekuwa nasoma sasa hivi basi katika kozi ambazo ningesoma ni kama ifuatavyo ya kwanza Computer Science, ya pili Law na ya tatu Business Administration.
Ww mbinguni moja kwa moja huu ushauri ni mzuri 100% kwa maisha yetuBinafsi sikushauri uache chuo.... Hakuna kitu kibaya kama miluzi Mingi... Carrier ni siri ya Mungu na hakuna ajuaye ni kitu gani kitamfanya afanikiwe... Wewe piga GPA Kali uone kama hutopata Ajira... AJIRA KIBAO TU SEMA WATU HAWANA SIFA... Gonga Computer Science ukimaliza Piga Driving course VIP 2 Kama plan B... Gonga na CISA Kabisa afu jisajili Ajira portal .. Kazi za professional zikisumbua omba Udereva... Kisha baada ya Muda hamia Kada yako