Ushauri: Nataka kuanzisha Hardware.

Ushauri: Nataka kuanzisha Hardware.

utukufu

Member
Joined
May 31, 2011
Posts
34
Reaction score
20
habari za muda wakuu.

nilikua nimepita pita huku na kule, nikawa nafikiria kuanzisha hii biashara maeneo ya usa river arusha. naombeni ushauri wakuu, kwa wale wenye experience kuhusu biashara hii... ups and downs zake, positivity na negativety zake...
what to do kuwin market na competation,
products ambazo hua zinakua na demand kubwa kwenye market..e.t.c

natanguliza shukrani za dhati sana.
 
Back
Top Bottom