Ushauri nataka kufanya biashara ya kukopesha

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,031
Reaction score
2,647
Wakuu kwanza habari ya asubuhi.

Nije moja kwa moja kwenye mada nilikuwa na pesa kidogo lakini kwa sababu ya kuwa busy na shughuli nyingine nikawa naonelea kwa nini nisiwakopeshe wanawake wanaojishughulisha na biashara ndogo ndogo Kama magenge, migahawa midogo midogo ili mradi tu atakayekopeshwa awe anashughuli ambayo anajishughulisha nayo inayo muingizia kipato kila siku.

Nitakachokifanya nikuwapa mikataba individually wanawake kumi lakini lazima wawe wanatokea kata moja na nilazima wakae Kama kikundi wachague kiongozi wao ambaye ndiyo atakuwa anakusanya marejesho kutoka kwa wenzake nakufanya marejesho kwangu. Mkataba utasanifiwa nakusainiwa na mwanasheria.

Kwa kuanzia nitampa kila mwanamke shilingi 500,000/= na nitatoa kwa wanawake kumi kwanza. Marejesho nikila siku shilingi 5000/= kwa muda wa miezi sita tu.

Kwa nini wanawake na sio kundi jingine?

Nimechaguwa wanawake Tena wenye familia either masingle mother au wenye waume kwa sababu wanawake ni waaminifu Sana lakini pia sio rahisi kutoroka nakuacha familia Kama wanaume au vijana.

Mwisho nilikuwa naomba ushauri wenu katika ili. Natanguliza shukrani.
 
5,000 kila siku.
Je na jumamosi na jumapili unahesabia?
Tunaassune jumamosi na jumapili imo.
Kwa mwezi ni 150,000 kwa miezi 6 ni sh 900,000.
Daaaah.
Haya tunassune jumamosi na jumapili hakuna.
5,000*22 ni 110,000 kwa mwezi.
Kwa miezi 6 ni 660,000.
Mkuu bora usihesabu jumamosi na jumapili maana ni muda wa ibada na kukaa na familia.
 
Ushauri, biashara ya kupata faida ya elfu tano ni biashara kubwa kabisa hasa kwa kundi unalolilenga. Ni bora ukachukua marejesho kwa wiki maana usipouza leo utauza kesho kufidia.
 
Wakuu kwanza habari ya asubuhi.

Nije moja kwa moja kwenye mada nilikuwa na pesa kidogo lakini kwa sababu ya kuwa busy na shughuli nyingine nikawa naonelea kwa nini nisiwakopeshe wanawake wanaojishughulisha na biashara ndogo ndogo Kama magenge, migahawa midogo midogo ili mradi tu atakayekopeshwa awe anashughuli ambayo anajishughulisha nayo inayo muingizia kipato kila siku.

Nitakachokifanya nikuwapa mikataba individually wanawake kumi lakini lazima wawe wanatokea kata moja na nilazima wakae Kama kikundi wachague kiongozi wao ambaye ndiyo atakuwa anakusanya marejesho kutoka kwa wenzake nakufanya marejesho kwangu. Mkataba utasanifiwa nakusainiwa na mwanasheria.

Kwa kuanzia nitampa kila mwanamke shilingi 500,000/= na nitatoa kwa wanawake kumi kwanza. Marejesho nikila siku shilingi 5000/= kwa muda wa miezi sita tu.

Kwa nini wanawake na sio kundi jingine?

Nimechaguwa wanawake Tena wenye familia either masingle mother au wenye waume kwa sababu wanawake ni waaminifu Sana lakini pia sio rahisi kutoroka nakuacha familia Kama wanaume au vijana.

Mwisho nilikuwa naomba ushauri wenu katika ili. Natanguliza shukrani.
Hello, ulifanikiwa kuanza hii Biashara ? Hebu tupe experience mchamchaka wake ukoje
 
Kila raheli katka kusamehe madeni😄
 
Hiyo biashara ni sawa na kubet ukikosea step tu umekwisha
 
Kuwa na roho ya kikatili kwenye kudai usicheke na nyani
 
Back
Top Bottom