fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 883 Aug 15, 2014 #1 wanajamvi ninataka kuanzisha biashara ya kuuza viazi mviringo Dar. nimejipanga kuwapelekea sampuli za viazi mahali husika hususani kwa choma chips gunia la kiazi Dar linauzwaje kwa sasa. na ni mbinu gani zingine nahitaji kuwafikia wateja.
wanajamvi ninataka kuanzisha biashara ya kuuza viazi mviringo Dar. nimejipanga kuwapelekea sampuli za viazi mahali husika hususani kwa choma chips gunia la kiazi Dar linauzwaje kwa sasa. na ni mbinu gani zingine nahitaji kuwafikia wateja.
wamatinga Member Joined Jan 22, 2013 Posts 99 Reaction score 15 Aug 19, 2014 #2 Wewe unauza sh ngapi? Ni pm