Ushauri: Nataka kufanya biashara ya viazi.

Ushauri: Nataka kufanya biashara ya viazi.

fugees

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
2,868
Reaction score
883
wanajamvi ninataka kuanzisha biashara ya kuuza viazi mviringo Dar. nimejipanga kuwapelekea sampuli za viazi mahali husika hususani kwa choma chips gunia la kiazi Dar linauzwaje kwa sasa. na ni mbinu gani zingine nahitaji kuwafikia wateja.
 
Back
Top Bottom