USHAURI:nataka kufanya kazi ya kusajili line:

USHAURI:nataka kufanya kazi ya kusajili line:

mjusikenge

Member
Joined
Oct 26, 2016
Posts
70
Reaction score
37
Poleni na majukumu ya kila siku ktk kulijenga taifa letu... Nijikite ktk kichwa cha habari... Wakuu mm ni mwanafunzi wa chuo flani hapa tz nachukua shahada ya uwalimu... Nimepata wazo lakusajili line kwa kuwa nimeona naweza kujiingizia kipato tartb wakat nasoma... Sasa wakuu naombeni ushauri kuhusu changamoto zikoje na hatari ya kazi hii ni ipi?? Kabla cijaanza ifanya...kwa yyt mwenye uzoefu anisaidiee mawazo...... Shukrani... Matusi, lugha chafu haziruhudiwi...
 
Upo mkoa gani???

Kazi ya kusajili laini ni nzuri na inalipa kwa commission ... Mitandao mingi target kwa siku inabidi uwe unasajili kwa minimum ya watu 6 kwa siku ambapo ni wastan Wa registions 180 kwa mwezi.....

Cha msingi nenda kwenye ofisi za mtandao unaotaka kusajili zilizokaribu na wewe utapewa access ya kusajili na team leader wako....
 
Upo wapi na kwa mtazamo wako mtandao upi unahisi unalipa vizuri au mtandao upi wa simu ambao unataka ufanye kazi hiyo?
 
Back
Top Bottom