mjusikenge
Member
- Oct 26, 2016
- 70
- 37
Poleni na majukumu ya kila siku ktk kulijenga taifa letu... Nijikite ktk kichwa cha habari... Wakuu mm ni mwanafunzi wa chuo flani hapa tz nachukua shahada ya uwalimu... Nimepata wazo lakusajili line kwa kuwa nimeona naweza kujiingizia kipato tartb wakat nasoma... Sasa wakuu naombeni ushauri kuhusu changamoto zikoje na hatari ya kazi hii ni ipi?? Kabla cijaanza ifanya...kwa yyt mwenye uzoefu anisaidiee mawazo...... Shukrani... Matusi, lugha chafu haziruhudiwi...