Ushauri:Nataka kufungua biashara

kwaji

Senior Member
Joined
Nov 3, 2013
Posts
186
Reaction score
32
Mimi nataka kufanya biashara na dola 8500 lakini mpaka sasa hivi Sijui ni biashara gani na weza kufanya naombeni ushauri wenu
 
Njoo nikuuzie bussiness plan yangu kilimo cha miwa

.made in mby city.
 
zile sadaka zisizo na auditor! Reginald Mengi kauza sabuni, magazeti, you name it na kaishia kupata mwanamke mrembo tu. Gwajima ana helcopter. Stuka, mie najiandaa kuwekeza huko. Nna shamba kibada tayari.
hahahahahaaaaaaaaaaaaa
jaamani bestito kwani kanisa linalipa au?
 
hahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha kweli
ukianzisha hilo kanisa niite niwe mtunza hazina wa kainisa lako best
zile sadaka zisizo na auditor! Reginald Mengi kauza sabuni, magazeti, you name it na kaishia kupata mwanamke mrembo tu. Gwajima ana helcopter. Stuka, mie najiandaa kuwekeza huko. Nna shamba kibada tayari.
 
Pesa anatunza paw na mie. its a family business. wewe jifunze kukemea pepo tu:majani7::majani7:
hahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha kweli
ukianzisha hilo kanisa niite niwe mtunza hazina wa kainisa lako best
 
Wewe si mjasiriamali kichwani, hivi unatakaje kufanya biashara na huna idea??
 
Anzisha biashara itakayo weza kukupa hela kila siku
 
Anzisha biashara itakayo weza kukupa hela kila siku

Kuna mada nyingi za aina hii za kuulizia biashara inaweza kufunguliwa. Wengi wanafikiria pesa alizo nazo zinatosha kufanya biashara bila kufikiria gharama za kuianzisha na kuendesha biashara yenyewe.

Inategemea na aina ya biashara unayokusudia kuifungua, na pale utakapochagua aina ya biashara ambayo inahitaji vitendea kazi na maandalizi ya mazingira ghali ndipo utakapojua maana ya kufanya utafiti wa kutosha ili usijeshtukia dream ya kuwa mfanya biashara imeyeyuka bila kupata faida iliyotarajiwa, pengine kufilisika na kuona afadhali ungeikodisha pesa hiyo bank ili wafanyie biashara kimkataba na ukapata kidogo huku fungu lako lingali salama na utakapopata akili nzuri ya biashara inayofaa na kujipanga vizuri ndipo ifanye panga pangua ya kufanya biashara.

Mpango wa kuiweka pesa yako bank isitumiwe hadi umejipanga vizuri ni ule mpango wa account ya kulimbikiza kwa muda maalum. Ukipaparika pesa haikawii kuyeyuka kama siagi iliyoanikwa juani. Tukumbuke wengi tukishakuwa na pesa mkononi hutupagawisha na kuona tunaweza kila kinachotujilia ubongoni.
 
314 nimekupenda ushauri wako powa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…