Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anzisha kanisa, lol
hahahahahaaaaaaaaaaaaa
jaamani bestito kwani kanisa linalipa au?
zile sadaka zisizo na auditor! Reginald Mengi kauza sabuni, magazeti, you name it na kaishia kupata mwanamke mrembo tu. Gwajima ana helcopter. Stuka, mie najiandaa kuwekeza huko. Nna shamba kibada tayari.
hahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenichekesha kweli
ukianzisha hilo kanisa niite niwe mtunza hazina wa kainisa lako best
njoo tuwekeze kwenye biashara ya vipodozi
Hahahaaaaa, we kichwa chako unakijua wewe mwenyewe!Anzisha kanisa, lol
Wewe si mjasiriamali kichwani, hivi unatakaje kufanya biashara na huna idea??
Anzisha biashara itakayo weza kukupa hela kila siku