Ushauri...nataka kununua hisa

Aunty kemmy

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
46
Reaction score
23
Habari wanajf...Naombeni mnishauri katika hii kitu ya kununua na kuuza hisa. Nina kama milion 5 nataka nijiingize katika ununuzi wa hisa. Nimesikia makampuni ya simu na mengineo yanauza hisa. Lakini sina uzoef kabisa katika hii issue.
 
Nadhani ukienda kwenye masoko ya hisa kama DSE pale wanaweza kukushauri zaidi..
 
Waone madalali wa Soko la Mitaji,mfano Orbit Securities,Solomon etc,watakupa advise.Wakati huo Pitia web ya Capital Markets and Secures,dse etc.
 
Habari wanajf...Naombeni mnishauri katika hii kitu ya kununua na kuuza hisa. Nina kama milion 5 nataka nijiingize katika ununuzi wa hisa. Nimesikia makampuni ya simu na mengineo yanauza hisa. Lakini sina uzoef kabisa katika hii issue.
Nenda kwa brokers kama Orbit securities,jengo la wastaafu (golden jubilee)posta mpya karibu na Ppf towers floor ya nne,watakuelekeza kila kitu.
 
Kuna thread ipo humu inaeleza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…