Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 23
Habari wanajf...Naombeni mnishauri katika hii kitu ya kununua na kuuza hisa. Nina kama milion 5 nataka nijiingize katika ununuzi wa hisa. Nimesikia makampuni ya simu na mengineo yanauza hisa. Lakini sina uzoef kabisa katika hii issue.