1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Zote nzur, ila jilipue na Hisense bei ya kawaidaKila mtu anasifia tv aliyotumia .haijulikan ipi ndio nzuri
43" smart vip ubora wakeZote nzur, ila jilipue na Hisense bei ya kawaida
Iko poa43" smart vip ubora wake
Asee Samsung mpka ife itakuwa imepitia misukosuko sana..hili chama ni uhakika sema bei nayooKwa kaka angu kuna SM
iliacha kuonyesha tu... utengenezaji wake unapata ka Hisense kapya.
Sitaki kusogelea hizo stress 😂
Mawinga hao walienda kuchukua duka lingine [emoji23] wamekuuzia sh ngap?Wakuu TV imefika saiv baada ya nusu saa nzima
Nunua Samsung ama LGWakuu nataka kununua tv inch 55 nasikia bei imepungua ipi ni brand nzuri yenye picha nzuri na inayodumua kwa muda
Evvoli 43"smart 660Mawinga hao walienda kuchukua duka lingine [emoji23] wamekuuzia sh ngap?
660k,Umewapa pesa nzr sana,kwa bei hii ungeweza kupata hata izo zenye majina makubwa, minishawahi kununua AILYONS 43 smart kwa 450k japo waliniambia nibei cjui ya ofa cjui yajumla lkn natumai ndo bei zakeEvvoli 43"smart 660
Kila mtu anasifia tv aliyotumia .haijulikan ipi ndio nzuri
Nilikuwa natafuta hii comment. Naona watu wanasifia color za vioo halafu hamna alieitaja Sony.. hakuna TV yenye color nzuri kuliko Sony kisha ndo wanafata kina Samsung.Kama una mkwanja wa kutosha vuta sony android tv 4k.
Haya mengine ya china sijui TCL ni takataka achai watumiaji wa simu za tecno wayanunue ndio tv zao hizo.
Toa Samsung kwenye hiyo list...hakuna TV hapo..Mkuu tafuta tcl smart android hutajutia wenye nazo wanaelewa hii kampuni ya kichina ni moto
Kwa uelewa wangu
1)Samsung
2)hisense
3)tcl
Hizo ndo brand za kuchagua zingatia brand ya kwanza na bei imechangamka