Ushauri nataka kununua tv

Ushauri nataka kununua tv

Kwa kaka angu kuna SM
iliacha kuonyesha tu... utengenezaji wake unapata ka Hisense kapya.

Sitaki kusogelea hizo stress 😂
Asee Samsung mpka ife itakuwa imepitia misukosuko sana..hili chama ni uhakika sema bei nayoo
 
Wakuu Niko dukan Sasa ivi ,najilipua na evvoli 43"smart
 
Nitawapa mrejesho naona wameenda store kuichukua ,😀sijui itakuwa nzima dah ni hatari.
 
Nimekaa nusu saa sioni Bado tv ,Sasa sijui iyo store IPO wap
 
Wakuu sijui niache tu ninunue siku nyingine 😀
 

Attachments

  • IMG_20240616_101727.jpg
    IMG_20240616_101727.jpg
    2 MB · Views: 17
Evvoli 43"smart 660
660k,Umewapa pesa nzr sana,kwa bei hii ungeweza kupata hata izo zenye majina makubwa, minishawahi kununua AILYONS 43 smart kwa 450k japo waliniambia nibei cjui ya ofa cjui yajumla lkn natumai ndo bei zake
 
Uwezo wa kuihudumia upo ndugu yangu ? Maana hizo inchi 55 kila mwisho wa mwezi lazima uongeze mafuta ya HD
Ambayo ni laki na hamsini kwa mkoani na Dar es salaam ni laki na ishirini ?
Jitafakari Kaka mkubwa
 
Kama una mkwanja wa kutosha vuta sony android tv 4k.

Haya mengine ya china sijui TCL ni takataka achai watumiaji wa simu za tecno wayanunue ndio tv zao hizo.
Nilikuwa natafuta hii comment. Naona watu wanasifia color za vioo halafu hamna alieitaja Sony.. hakuna TV yenye color nzuri kuliko Sony kisha ndo wanafata kina Samsung.
 
Mkuu tafuta tcl smart android hutajutia wenye nazo wanaelewa hii kampuni ya kichina ni moto

Kwa uelewa wangu
1)Samsung
2)hisense
3)tcl

Hizo ndo brand za kuchagua zingatia brand ya kwanza na bei imechangamka
Toa Samsung kwenye hiyo list...hakuna TV hapo..

Kwa sasa TV bora ni
1. TCL
2.Hisense

Hayo mengine ni makorokoro
 
Back
Top Bottom