Ushauri nataka kununua tv

Ushauri nataka kununua tv

james bendui

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
693
Reaction score
690
Wakuu nataka kununua tv inch 55 nasikia bei imepungua ipi ni brand nzuri yenye picha nzuri na inayodumua kwa muda
 
Mkuu tafuta tcl smart android hutajutia wenye nazo wanaelewa hii kampuni ya kichina ni moto

Kwa uelewa wangu
1)Samsung
2)hisense
3)tcl

Hizo ndo brand za kuchagua zingatia brand ya kwanza na bei imechangamka
 
Wakuu nataka kununua tv inch 55 nasikia bei imepungua ipi ni brand nzuri yenye picha nzuri na inayodumua kwa muda
njoo nikupeleke kwa muajemi ukanunue zipo Hisense, Samsung,Lg,Evvol na Tcl hinzi ndizo brand nzuri za tv. anauza jumla na rejareja na kama kuna anaehitaji mzigo wa kutosha godown zipo ilala ndio wanaosuply agrey.
 
Mkuu tafuta tcl smart android hutajutia wenye nazo wanaelewa hii kampuni ya kichina ni moto

Kwa uelewa wangu
1)Samsung
2)hisense
3)tcl

Hizo ndo brand za kuchagua zingatia brand ya kwanza na bei imechangamka
ongezea na EVVOL ya ITALY
 
Back
Top Bottom