r.i.p mkuu
Nenda tu tena endesha kawaida
Kuna kichaa alikuwa anakatiza kwa miguu mbugani na hakuliwa! All the best, safe journey
R.I.P,mbele yako nyuma yako
Na Ukigonga Hata Nyati Unakufa Wewe, Co Kama Wa Fuxo
Mada zingine yaani n kucheka tu...mkuu kila la kheri utakuwa unatupa feed back afu ukifika pale baada ya Mzumbe kula nyama za kutosha
Kama una familia andika wosia kabisa
Wakuu,
Kesho jumatano natarajia kwenda Kyela, Mbeya lakini usafiri nitakaoutumia ni pikipiki ya tairi 3 yaani bajaji, na nitapita nayo pale mbugani Mikumi kwa kasi ya roketi, natumaini hakuna mnyama atakaenizingua mbugani.
Wakuu mna ushauri wowote hapa?
We nenda kwa kuwa umeshapanga hata tukikushaur hutabadil, sasa ww nenda halafu uje utupe ushuhuda usiporud jukwaan bas tutajua try simba wa Mikumi washafamya yao
unabusu moto
We pita tu, Kwani wanakatazaga?
Alizoea kupita, lakini aliliwa. tuliokota kichwa tu