Ushauri: Nataka kupita Mikumi mbugani na BAJAJI

Ushauri: Nataka kupita Mikumi mbugani na BAJAJI

Mada zingine yaani n kucheka tu...mkuu kila la kheri utakuwa unatupa feed back afu ukifika pale baada ya Mzumbe kula nyama za kutosha
 
Mada zingine yaani n kucheka tu...mkuu kila la kheri utakuwa unatupa feed back afu ukifika pale baada ya Mzumbe kula nyama za kutosha

asante sana mkuu pale baada ya mzumbe nitapiga nyama za kutosha na ndizi za maana, kisha mzee naanza kuchanja mbuga
 
Umeshasema utapita kwa Speed ya rocket na hakuna mnyama atakae kugusa, unataka ushauriwe nini tena? Hivi unaijua speed ya rocket au unajisemea tu? Wewe mkuu kwa hizo mada una nia ya kujaza server tu!

Mara upite na Bodaboda Mikumi,mara eti mmepata Pancha Mikumi na abiria wote mpo ndani ya Basi..!!
 
We nenda kwa kuwa umeshapanga hata tukikushaur hutabadil, sasa ww nenda halafu uje utupe ushuhuda usiporud jukwaan bas tutajua try simba wa Mikumi washafamya yao
 
Alizoea kupita, lakini aliliwa. tuliokota kichwa tu
 
Wakuu,

Kesho jumatano natarajia kwenda Kyela, Mbeya lakini usafiri nitakaoutumia ni pikipiki ya tairi 3 yaani bajaji, na nitapita nayo pale mbugani Mikumi kwa kasi ya roketi, natumaini hakuna mnyama atakaenizingua mbugani.

Wakuu mna ushauri wowote hapa?

Andika Wosia Kabisa Na Uage Michepuko Yako Yote Mpaka Wale Wa Kimboka Baada Ya Hapo Unaweza Ukapita Kwa Uhuru Tuu Hapo Mbugani Mikumi Na Labda Nikutakie Safari Njema Wasalimie Akina Kanumba Huko.
 
We nenda kwa kuwa umeshapanga hata tukikushaur hutabadil, sasa ww nenda halafu uje utupe ushuhuda usiporud jukwaan bas tutajua try simba wa Mikumi washafamya yao

mkuu uwe na amani nitarudi mzima
 
Back
Top Bottom