Ushauri: Nataka Kusoma LLB

Ushauri: Nataka Kusoma LLB

Ukisoma OUT hupati kazi binafsi labda karani wa serikali,reset upate div 1 uende udsm
 
Ndugu hiyo sio kozi nzuri wengi wao ni wezi na matapeli wakubwa mfano mzuri ni wezi waloiba fedha za umnma Escrow.wanasheria wengi ni matapeli
 
Kwa nini unataka kuidharau OUT? Ungejua kuna watu wamefanya hadi phd hapo na zimewatoa. Hebu toka ndani ya boksi
Ukisoma OUT hupati kazi binafsi labda karani wa serikali,reset upate div 1 uende udsm
 
LL.B pale Open University ni miaka mingapi? Maana pale UDSM najua ni miaka minne. Ukichanganya na Law School ni miaka mitano.

Niliwahi kusimuliwa kwamba pale OUT ni speed yako kumaliza na eti unaweza kuisoma ndani ya miaka mitatu kama uko brilliant. je, kuna ukweli hapa.

I just wanna confirm.

kuna ukweli
 
Ni kwel hata mm namaliza ndan ya miak mutatu.kwahio unaweza
hebu please naomba unijuze kuhusu kuapply out,ni kupitia tcu au unaaply direct hapo out,na je huwa kuna session za class kidogo au discussion
 
Ukitaka kusoma ili upate Cheti nenda OUT ila ka unataka kua mtaalam ni ngumu sana kusoma sheria kwa distance learning katika undergraduate level. Kila la kheri.
 
Ndugu hiyo sio kozi nzuri wengi wao ni wezi na matapeli wakubwa mfano mzuri ni wezi waloiba fedha za umnma Escrow.wanasheria wengi ni matapeli

Acha kupotosha na kumkatisha tamaa bwana huyu, wale wezi wote ni wanasheria?
 
Back
Top Bottom