victorserv
Senior Member
- Oct 4, 2013
- 195
- 56
Ukisoma OUT hupati kazi binafsi labda karani wa serikali,reset upate div 1 uende udsm
LL.B pale Open University ni miaka mingapi? Maana pale UDSM najua ni miaka minne. Ukichanganya na Law School ni miaka mitano.
Niliwahi kusimuliwa kwamba pale OUT ni speed yako kumaliza na eti unaweza kuisoma ndani ya miaka mitatu kama uko brilliant. je, kuna ukweli hapa.
I just wanna confirm.
hebu please naomba unijuze kuhusu kuapply out,ni kupitia tcu au unaaply direct hapo out,na je huwa kuna session za class kidogo au discussionNi kwel hata mm namaliza ndan ya miak mutatu.kwahio unaweza
Ndugu hiyo sio kozi nzuri wengi wao ni wezi na matapeli wakubwa mfano mzuri ni wezi waloiba fedha za umnma Escrow.wanasheria wengi ni matapeli
Kwa nini unataka kuidharau OUT? Ungejua kuna watu wamefanya hadi phd hapo na zimewatoa. Hebu toka ndani ya boksi
Tumaini university wana evening class anayefahamu atujuze