Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
mbona maelezo na tone vinaenda sambamba na wazoefu wa hiyo kitu?Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..
Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?
Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?
Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
Ukisha mla, nakushauri umshushie na bapa moja la nyagi aka faru jonh.....[emoji39] utakuja kunishukuru...[emoji4]
Tatizo la dudu alikua anakunywa alafu anashindia mihogo, akisha lewa anaenda kukamua wanawake wazee na kukipambazuka anaenda kwenye kazi ngumu.Pombe sio nzuri kaka si ume muona dudu baya?
Amen!Onja zote....anza na ya kukaanga, kula roast naya kuchoma + ndizi mbili na kachumbali oooh haleluyah