Ushauri: Nataka nianze kula kitimoto

Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni..

Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu?

Je nimsindikize na ndizi ama kaugali?

Sipendi awe na mafuta mengi nipeni idea za kutosha
Mkuu hebu jaribu roast iliyochanganywa na ka mchicha kwa mbali! Haki ya nani utatoa machozi kwamba ulichelewa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…